Results for kusikitisha translation from Swahili to English

Swahili

Translate

kusikitisha

Translate

English

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

habari za kusikitisha

English

heart

Last Update: 2021-09-28
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

inaudhi n ani jambo la kusikitisha.

English

it sucks and pathetic.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mwonekano wa eneo la delmas ni wa kusikitisha, unaogofya.

English

the sight of delmas looks distressing, astounding.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

uharibifu ulikuwa wa kusikitisha kidogo wakati tunaingia manispaa ya ivisan.

English

the damages were a bit distrubing when we entered the municipality of ivisan.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

cha kusikitisha zaidi ni jinsi wafanyakazi wa mashirika haya wanavyoadhibiwa namna hii.

English

what is even more sadder is how the egyptian ngos workers and employees are being punished in this way.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kufuatia shambulizi hilo la kusikitisha, ushahidi wamekuja na zana mbili mahsusi kwa dharura .

English

following the horrible attack, ushahidi has come up with two tools for emergencies.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

cha kusikitisha, penalver alifariki mwaka wa 2006, bila kuushuhudia uhuru wa nchi yake aliyoipenda.

English

sadly, penalver passed in 2006, without seeing his beloved homeland free.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

habari za kusikitisha kuhusiana na tasnia ya usafiri wa anga na wale waliokuwepo kwenye ndege hiyo!

English

very shocking news for aviation industry and those onboard!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hii ni hasa ya kusikitisha kwa wakati ambao wapalestina wameunda serikali ya umoja ambayo imetambuliwa na jumuiya ya kimataifa.

English

this is particularly unfortunate at a moment when the palestinians have formed a unity government that has been recognized by the international community.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

bado, ni jambo la kusikitisha pale unaponunua bendera ambayo ni zaidi ya mita 1 kwa upana au urefu!

English

still, it really is pathetic when you get a flag that is more than 1 meter in width or length!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

aad vile vile inauona wito wa chama cha npp kujiuzulu na kukaribishwa na wakala wa ulinzi kwenye suala hilohilo kama wa kusikitisha na wa kinafiki.

English

the alliance for the advancement of democracy (aad) also views the call by the new patriotic party on hon. opoku manu to resign and the subsequent invitation by the appropriate security agency on the subject matter as most unfortunate and highly hypocritical.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mitizamo ya watu kwenye maoni kuhusiana na hotuba ya rais obama ilionekana dhahiri kuvuka mipaka ya husuda, wivu na hali ya kusikitisha.

English

the sentiments apparent in the comments on pres obama’s speech went beyond envy, jealous and pity.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

alama habari #drameplateau ilianzishwa kutoa nafasi ya kupatikana kwa habari za wakati huo huo kuhusu tukio hilo la kusikitisha na namna ya kuwasaidia waathirika.

English

a hashtag #drameplateau was set up to give real time updates and on how one can help the victims.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

tulilazimika kuondoa mapambo yote tuliyopamba na ilikuwa ya kusikitisha sana kwa sababu tulitarajia babu na bibi zetu kuja kila mtu alikuwa na huzuni kweli na ilikuwa ndio ndio kwani tuliwaona kitu pekee ninachotamani kuonyesha sasa ni kuwaona.

English

we had to remove all the decorations we had decorated and it was very sad because we expected our grandparents to come everyone was really sad and it was oh yeah since we saw them the only thing i wish show now is to see them

Last Update: 2021-08-19
Usage Frequency: 2
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa masikitiko, ni jambo la kusikitisha kueleza kuwa hakuna mtendaji hata mmoja wa moja kwa moja au wa vinginevyo walio na dhati na waliojitoa kwa vitendo kuhakikisha mafanikio ya mchakato wa amani nchini nepal.

English

forlornly, it is hapless to describe that no any single direct and indirect actors found sincere and practically committed towards the success of ongoing peace process of nepal.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

matokeo mabaya zaidi ya vitendo hivyo yanapata hasa msukumo wa kisiasa na hivyo kusababisha ukamataji wa wanablogu na waandishi wengine wa mtandaoni kutokana na shughuli zao za mtandaoni na nje ya mtandao, katika baadhi ya matukio ya kusikitisha hata vifo vimetokea.

English

the harshest consequence for many has been the politically motivated arrest of bloggers and online writers for their online and/or offline activities, in some tragic cases even leading to death.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

jambo la kusikitisha ni kuwa serikali ilikuwa imeridhika na kuachia mambo yaendelee kuwa yalivyo (pengine kwa miaka 10 au zaidi) mpaka jambo kubwa lilipotokea, kama vile ujio wa papa.

English

the sad part is that it seems the government was content to just let things be (possibly for as long as 10 years or longer) until something big came up, like the pope’s arrival.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mpendwa wangu nina umri wa miaka 28 na single nimepoteza mume wangu kwenye ajali ya ndege miaka iliyopita, hiyo ilikuwa wakati wa kusikitisha zaidi wa maisha yangu, ilikuwa wakati wa kusikitisha sana lakini sasa mimi ni mzuri na nitaolewa katika siku za usoni za karibu kuja sawa...

English

pole sana mpendwa kwa kumpoteza mume wako pia nikupe hongera kwa kupata mchumba mwengine ila mimi sina pesa yakuja huko

Last Update: 2024-06-08
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

@acarvin: video ya kusikitisha inaonyeshwa kwenye kituo cha al jazeera hivi sasa -ikiwaanesha jamaa kadhaa wakirusha mawe, kila mmoja akimwulika kwa toshi ya kijani ili kupata shabaha kwa wapinzani wao

English

@acarvin: surreal footage on aje now - over a dozen guys throwing rocks, each lit up by a green laser to be target by opposing side

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

cha kusikitisha, siku 6 baada ya #yolandaph kutokea, msaada wa serikali bado haujaonekana na waathirika. miili imetapakaa kila pahali mitaani wakisubiri kuhifadhiwa. — marlon ramos (@iammarlonramos) novemba 13, 2013

English

sadly, 6 days after #yolandaph struck, gov't help hardly felt by survivors.bodies still strewn all over the streets waiting to be retrieved — marlon ramos (@iammarlonramos) november 13, 2013

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,647,201,790 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK