Results for kutafiti translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

kutafiti

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kwa hiyo, serikali ni lazima iendelee kutafiti zaidi kwenye utekelezaji wake ifikapo mwaka 2016 na sio mwaka 2012.

English

therefore, government should still research more into its implementation by 2016 and not 2012.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nilikuja kusoma na kutafiti katika chuo kikuu ambacho kinajitahidi kwa nguvu zote kuwa moja wapo ya vyuo vikuu bora vya utafiti duniani, na sio kupata fedha kutoka kwa watu ama mashirika.

English

i came to study and research at a university which is striving with all of its might to be one of the best research universities in the world, not to get money from people or organizations.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

huko meksiko, irma eréndida sandoval, anaongoza maabara ya kuhifadhi nyaraka juu ya ufisadi na kutafiti kuhusu sera zilizo bora zaidi za uwazi. “laboratorio de documentación y análisis de la corrupción y la transparencia” katika unam, the autonomous national mexican university, ni moja ya taasisi zinazoheshimika sana katika latini amerika.

English

in mexico, irma eréndida sandoval heads up a laboratory to document corruption and research the best transparency policies. “laboratorio de documentación y análisis de la corrupción y la transparencia” at unam, the autonomous national mexican university, is one of the most prestigious institutions in latin america.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,746,419,976 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK