Results for kutayarisha translation from Swahili to English

Swahili

Translate

kutayarisha

Translate

English

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kabla ya, wakati wa, na baada ya kutayarisha chakula.

English

before, during, and after preparing food.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

saidia walimu kutayarisha mipangilio msingi kama vile suluhisho kwa utumizi wa data ya mtandao ikiwa inahitajika kutoa mafunzo ya moja kwa moja kupitia njia za kimtandao.

English

help teachers to prepare the basic settings such as solutions to the use of internet data if they are required to provide live streaming of lessons.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwanzilishi wa global voices, rebecca mackinnon, alitunukiwa tuzo ya knight news challenge kwa ajili ya kutayarisha safu ya kiulimwengu ya makampuni yanayotoa huduma ya intaneti.

English

global voices co-founder, rebecca mackinnon, was awarded a knight news challenge award to develop a global ranking of internet companies.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

chenda pia aliweka wazi kwamba serikali ilikuwa inachukua hatua za kutayarisha mipango wa muda mrefu ywa kujenga maghala ili kuondoa tatizo la kupotea kwa chakula kingi chini ya shirika la hifadhi ya chakula.

English

chenda also revealed that the government was putting in place programs to build additional storage facilities as a long-term measure to avoid wastage under the food reserve agency (fra).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

naye akawajibu, "naam, eliya anakuja kwanza kutayarisha yote. hata hivyo, kwa nini basi imeandikwa katika maandiko matakatifu kwamba mwana wa mtu atapatwa na mateso mengi na kudharauliwa?

English

and he answered and told them, elias verily cometh first, and restoreth all things; and how it is written of the son of man, that he must suffer many things, and be set at nought.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

barua hizo zilitumwa na chama cha psdb jimboni minas gerais wakisema kwamba filamu hiyo ilikuwa na chembechembe za “ushabiki wa kisiasa” na haikuwa ikieleza uhalisi wa mambo, pamoja na kuhoji maadili ya kazi yangu wakati wa kutayarisha filamu hiyo.

English

letters were sent by psdb of minas gerais. psdb said my film was of a "political-partisan" nature and didn't represent the reality in the state, besides questioning the ethics of my conduct during the production of the film.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,945,681,991 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK