Results for kutekeleza translation from Swahili to English

Swahili

Translate

kutekeleza

Translate

English

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

ili kutekeleza visheni hii, tunaomba ridhaa yenu ili:

English

to achieve this vision, we seek your mandate to:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tunakutakia mafanikio katika kutekeleza kazi hii maalumu ya kihistoria.

English

we wish you success in discharging of this historical mission.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kumekuwepo wasiwasi kuwa mwenye hataweza kutekeleza majukumu yake asipokula kiapo.

English

there had been concerns that mwenye would not perform in his new role without being sworn in.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

polisi pia imewataka wananchi kushirikiana na polisi katika kutekeleza majukumu yao.

English

it also calls on citizens to cooperate with the police in carrying out their duties

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kuna sababu nyingi za msingi zinazozingatiwa katika kutekeleza mauaji haya ya heshima.

English

there are many reasons that are considered as the main and basic causes behind the honor killing.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kutekeleza shariah hakutanifanya kuwa muislamu bora wala kuboresha hali ya mambo nchini pakistan.

English

enforcing shariah will not make me a better muslim nor will it make pakistan a welfare state.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwezi mei 2013, fifa ilianza kutekeleza vikwazo vikali dhidi ya ukabila na ubaguzi.

English

in maqy of 2013, fifa began implementing stricter sanctions aganist racismand discrimination.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hawa hawana subira kwa kutekeleza ibada na kwa ujumla ni wagumu kujitambulisha hadharani kama waislamu.

English

they have no patience for actually practising rituals and in general will be reluctant even to publicly identify themselves as muslim.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ili kutekeleza haya, serikali ya uingereza hivi majuzi imeeleza nia ya kutekeleza hatua za kuwatenga watu kibinfasi.

English

to implement this the uk government has recently articulated the desire to implement population self-isolation measures.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwanablogu wa thots here and there anaamini kwamba viongozi ni lazima watende wayasemayo kabla ya kutekeleza sera zozote:

English

thots here and there believes that leaders should walk the talk before implementing any policies:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

itakuwaje washambulizi wawili au watatu kutekeleza shambulizi hili saa nne asubuhi bila kukamatwa wakati inaeleweka garissa ina maelfu ya walinda usalama?

English

how can two or three gunmen do such act with impunity at 10.am when garissa has thousands of security personell?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baba mzazi wa mwanablogu huyo aliviambia vyombo vya habari nchini humo kuwa aliamini kukamatwa kulikuwa ni kutekeleza sheria mpya iliyotungwa kupiga marufuku maandamano mitaani nchini misri.

English

the blogger's father told local media he believed the arrest was made under a new law effectively banning street protest in egypt.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

changamoto iliyopo ni zambia kutekeleza sera bora za usawa ili masikini waliowengi na wale walio kwenye mazingira hatarishi katika jamii yetu wasiachwe nyuma na kubaki kuwa waangaliaji tu wa shughuli za uchumi.

English

the challenge though still remains for zambia to put in place better redistributive policies so that the majority poor and the most vulnerable in our society are not left to be mere spectators in the current economic activities.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kufanya jaribio la kutekeleza mbinu ya ukusanyaji wa serami kutoka kwa watu wanaopona kupitia wasifu wa antibodi miongoni watu waliopona kutokana na covid-19 walioruhusiwa kurudi nyumbani.

English

to pilot implementation of a scheme for collection of convalescent sera with antibody profiles among recovered cases of covid-19 discharged to the community

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sisi ndio tunaopaswa kunufaika na utajiri wa mindanao.wanajeshi wanatutuhumu kuwa sisi ni , yaani jeshi jipya la watu kama namna ya kuhalalisha kuwaondosha watu kutoka katika makazi yao au kutekeleza mauaji.

English

we should be the ones benefiting from the wealth of mindanao. the soldiers say we are new people's army to justify our displacement and murder.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

icc peke yake haiwezi kufanya lolote kutekeleza agizo hilo la kukamatwa (kama italitoa) na umoja wa mataifa ni chui asiye na meno, lakini…

English

the icc can’t do much on its own in terms of enforcing the arrest warrant (if it issues it at all) and the un is a fangless paper tiger, but…

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

brankovikj amekumbana na tahayaruki ya kujikuta mali zake zikitaifishwa mara mbili na serikali kwa miaka 65 iliyopita, na ingawa alishinda kesi mahakamani kuhusu suala hilo, bado taasisi za kiserikali zimeshindwa kutekeleza maamuzi hayo ya kimahakama na kumrejeshea mali zake.

English

brankovikj has had his property nationalized twice by the state over the last 65 years, and although he won all the court cases regarding this matter to date, macedonian state institutions have failed to implement the verdicts and return his property.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nisiwe mwenye kutekeleza vitu hivo kwahiyo , katika 2024 nipotyari kwa mapambano ambayo atanifanya niwemshindi kwa uwezo wa allah , familia yangu wala musiwe na wasiwasi kwasababu jueni munakaka aliebora mwenye ,upendo,mwenye kujielewa kwa uwezo wa allah nitakuwa kaka mwe

English

in the past year i was so sad ,yaan i will never forget 2023 never in this year is the year i missed aman, joy , i also lost matuman because i promised many things to god lkn this year allah made me mm not to be the one to carry out those things so , in 2024 i will be in the fight that he will make me win by the power of god, my family and do not be worried because you know the best brother who is , love is the one who understands god's power

Last Update: 2024-01-01
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

agizo la kukamatwa linayotolewa na icc katika mazingira mapya litakuwa na uzito, hivyo kutolewa kwake kutakuwa na manufaa kama zana ya kumshinikiza omar al-bashir kutengeneza mazingira yatakayoleta amani katika darfur na kutekeleza mkataba wa amani sudani ya kusini, cpa.

English

an icc arrest warrant issued within this new context will now have more weight, and hence its potential issuance will probably be more useful as a tool for pressuring omar al-bashir to act in favor of peace in darfur and implementing the cpa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

uadilifu na uwajibikaji: ununuzi bora unawawajibisha watendaji wake kutekeleza na kutii sheria. inawafanya kuwa chini ya changamoto na vikwazo, ikiwa inafaa, kwa kupuuza au kupindisha sheria hizo. uwajibikaji mara moja ni kichocheo kikuu kwa uwazi wa mtu binafsi na wa kitaasisi, kizuizi kikuu cha njama na ufisadi, na hitaji kuu la uaminifu wa ununuzi. masuala ya kimaadili ni miongoni mwa baadhi ya vikwazo katika kufikia thamani ya fedha. watu i

English

integrity and accountability: good procurement holds its practitioners responsible for enforcing and obeying the rules. it makes them subject to challenge and to sanction, if appropriate, for neglecting or bending those rules. accountability is at once a key inducement to individual and institutional probity, a key deterrent to collusion and corruption, and a key prerequisite for procurement credibility. ethical issues are amongst some of the obstacles in achieving value for money. people i

Last Update: 2021-12-27
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,932,496,953 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK