From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
maloumbi kuhusu kutishiwa kwa wapiga kura:
maloumbi on voter intimidation:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa hilo pekee, alichusimamishwa kizimbani na kutishiwa kifungo.
for that, he was taken to court and threatened with imprisonment.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
baada ya hayo, akijisikia kutishiwa mjini luanda, alitafakari na kumdokeza siri hiyo kwa rafiki kuwa alitamani kurudi nyumbani.
afterwards, feeling threatened in luanda, she considered and confided to a friend that she desired to return back home.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kufahamika kwa vitendo vya ufuatiliaji, kutishiwa na kunyonywa kwa tasnia ya habari kumeibua maswali kuhusu haki na usalama wa waandishi katika kutangaza habari katika zama hizi za kidigitali.
revelations about surveillance, intimidation, and exploitation of the press have raised unsettling questions about the rights and safety of journalists’ ability to report in the digital age.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
... mara tu nilipowekwa chini ya ulinzi nyumbani kwangu na vyombo vya usalama, niliteswa, nilipigwa na kutishiwa kifo...mimi ni mhanga wa unyanyasaji wa utawala huu wa kiislamu.
... as soon as i was arrested in my apartment by security forces, i was tortured, beaten and threatened to be executed... i am one of the victims of the islamic regime's repression.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: