Results for kutishiwa kuuawa translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

kutishiwa kuuawa

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

watu watatu kuuawa.

English

three people dead.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maloumbi kuhusu kutishiwa kwa wapiga kura:

English

maloumbi on voter intimidation:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa hilo pekee, alichusimamishwa kizimbani na kutishiwa kifungo.

English

for that, he was taken to court and threatened with imprisonment.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mlipuko huo ulipelekea watu 12 wasio na hatia kuuawa.

English

the explosion resulted in 12 innocent lives being perished.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

aliwasili korea julai mosi, akaolewa na kuuawa tarehe 8.

English

she arrived in korea on july 1, got married and found as a cold body on 8.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

matukio ya kuuawa kisiasa kwa wapinzani yamekuwa yakiripotiwa nje ya nchi hiyo.

English

assassinations of opposition members have also been reported outside the country.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

joseph kabila alitwaa madaraka mwaka 2001 kufuatia kuuawa kwa baba yake laurent kabila.

English

joseph kabila took power in 2001 following the assassination of his father laurent kabila.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hata hivyo, cov huweza kuzuia utendakazi wa seli za t kwa kusababisha kuuawa kwa seli za t.

English

however, cov can inhibit t cell functions by inducing apoptosis of t cells.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwanablogu wirriyamu anaomboleza kuuawa kwa waandishi wa habari wawili wa ufaransa mjini kidal, mali.

English

blogger wirriyamu mourns the two french journalists killed in kidal, mali.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

muammar gaddafi wa libya naye alikamatwa na baadae kuuawa na kundi la wananchi wenye hasira mwezi oktoba 2011.

English

libya's muammar gaddafi was also captured and later on killed by an angry mob in october 2011.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baadae, sherry rehman alipokea vitisho vya kuuawa na hivyo kulazimika kukaa ndani ya nyumba yake bila ya kutoka.

English

sherry rehman later received death threats and was confined to her house.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baada ya hayo, akijisikia kutishiwa mjini luanda, alitafakari na kumdokeza siri hiyo kwa rafiki kuwa alitamani kurudi nyumbani.

English

afterwards, feeling threatened in luanda, she considered and confided to a friend that she desired to return back home.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hii iliungwa mkono kwa njia isiyo ya moja kwa moja na ukweli kwamba hakuna visa zaidi vya sars vilvyoripotiwa baada ya kuuawa kwa ngawa wote waliokuwa sokoni.

English

this was indirectly supported by the fact that no further sars was reported after killing all civets in the markets.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maafisa wa serikali nchini mexico wamethibitisha kuuawa kwa gregorio jiménez de la cruz, ajulikanaye pia kwa jina la “goyo”.

English

mexican authorities have confirmed the murder of gregorio jiménez de la cruz, aka “goyo”.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@usembislamabad (us embassy islamabad ‏): saaed anatafutwa kuhusishwa na mashambulizi ya mumbai yaliyopelekea watu 166 kuuawa.

English

@usembislamabad (us embassy islamabad ‏): saaed is wanted for suspected involvement in the mumbai attacks, which killed 166.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwandishi wa habari wa guatemala carlos alberto orellana chávez alipigwa risasi mnano jumatatu agosti 19, 2013, yeye ni mwandishi wa habari wa nne kuuawa nchini guatemala mwaka huu.

English

guatemalan journalists carlos alberto orellana chávez was gunned down on monday, august 19, 2013; he is the fourth journalist killed in guatemala this year.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

... mara tu nilipowekwa chini ya ulinzi nyumbani kwangu na vyombo vya usalama, niliteswa, nilipigwa na kutishiwa kifo...mimi ni mhanga wa unyanyasaji wa utawala huu wa kiislamu.

English

... as soon as i was arrested in my apartment by security forces, i was tortured, beaten and threatened to be executed... i am one of the victims of the islamic regime's repression.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katiba ya nchini kambodia inatoa uhuru wa kupashana habari lakini wanahabari wanazidi kunyanyaswa na kuuawa, hususani kwa waandishi wanaopasha habari kuhusiana na ukiukwaji wa maadili unaofanywa na maafisa wa serikali pamoja na upashaji habari wa masuala ya kibiashara yanayohusishwa na viongozi wakubwa serikalini.

English

cambodia's constitution guarantees freedom of speech but journalists are still harassed and killed, especially those who report about the abuses committed by local officials and business interests with ties to powerful leaders.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mmoja wa ndugu wa familia (kwa kiasi kikubwa mwanaume), na kwa idhini ya watu wa familia nyingine, mwanamke anahukumiwa na kuuawa kwa sababu zisizo na msingi.

English

one of the family members (mostly a man), with the consent of other family members, kills and sentences the woman on few basis.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa sababu alikuwa anawafundisha wanafunzi wake. aliwaambia, "mwana wa mtu atakabidhiwa kwa watu ambao watamuua; lakini siku ya tatu baada ya kuuawa atafufuka."

English

for he taught his disciples, and said unto them, the son of man is delivered into the hands of men, and they shall kill him; and after that he is killed, he shall rise the third day.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,778,229,203 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK