From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
leo ni siku ya kutumikia, lakini hatupaswi kuishia hapo tu.
today is a day of service, but we don't have to stop there.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
muwe radhi kutumikia kwa ajili ya bwana na si kwa ajili ya watu.
with good will doing service, as to the lord, and not to men:
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
@fedosy : capriles ataendelea kutumikia nchi hii, nami nitandelea kuandika.
@fedosy : capriles will continue serving, i will continue writing.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
muufuate uongozi wa watu kama hao, na uongozi wa kila mtu afanyaye kazi na kutumikia pamoja nao.
that ye submit yourselves unto such, and to every one that helpeth with us, and laboureth.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
wageni wasio waislamu hawawezi kupiga kura, kuabudu hadharani, kupata uraia, wala kutumikia umma.
non-muslim foreigners cannot vote, worship publicly, obtain citizenship, and hold public positions.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
anauingiza usiku katika mchana, na anauingiza mchana katika usiku. na amelifanya jua na mwezi kutumikia.
he brings the night in a part of the day and he brings the day in a part of the night; and he has subjected the sun and moon; each one runs to its fixed term; such is allah, your lord – only his is the kingship; and those whom you worship instead of him do not own even the husk of a date-seed.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
jinsi hiyohiyo, mwana wa mtu hakuja kutumikiwa, bali kutumikia na kutoa maisha yake kuwa fidia ya watu wengi."
even as the son of man came not to be ministered unto, but to minister, and to give his life a ransom for many.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
naye bwana wetu ambaye mambo hayo yote yanasemwa juu yake, alikuwa wa kabila lingine, na wala hakuna hata mmoja wa kabila lake aliyepata kutumikia madhabahuni akiwa kuhani.
for he of whom these things are spoken pertaineth to another tribe, of which no man gave attendance at the altar.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
alihukumiwa na mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai mnamo tarehe 5 februari 2013 kutumikia kifungo cha maisha akiwa gerezani kwa makosa 334 ya mauaji, kubaka pamoja na uchomaji moto wa vitu mbalimbali.
he was sentenced to life in prison on 344 counts of murder, rape and arson by the international crimes tribunal on 5 february 2013.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
aliachiwa huru kutoka gerezani mwaka 1990, na kuwa rais miaka minne baadae, na kuachia madaraka baada ya kutumikia kwa kipindi kimoja tu, kitendo adimu kufanywa na wenye madaraka barani afrika.
freed from prison in 1990, he became president four years later, and left office after serving only one term, a rare gesture in african politics.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kutumikia jeshi kwa lazima ni udhalilishaji, utumwa, na kazi ya kulazimishwa kwa maelfu ya wamisri maskini ambao kila mwaka wanalazimishwa kufanya kazi katika biashara binafsi na mashamba ya majenerali wa jeshi la misri bila malipo yoyote au mshahara.
the mandatory conscription is humiliation, enslavement, and forced labour to thousands of poor egyptians who get conscripted every year to work in the private businesses and farms of egyptian army generals without any pay or salary.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kufariki kwake ni ukumbusho wa kujitolea kwa wafungwa wa kihistoria wa kisiasa duniani, kama vile cuba eusebio penalver mazorra, mfungwa wa kisiasa aliyefungwa kwa muda mrefu mwenye asili ya afrika katika historia ya kisiasa, baada ya kutumikia kifungo chake kwa miaka 28.
his passing is also a reminder of the sacrifice of the world's historic political prisoners, such as cuba's eusebio penalver mazorra, the longest serving political prisoner of african descent in modern history, having served 28-years.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
(hapa natumia lugha ya kawaida ya watu kwa sababu ya udhaifu wenu wenyewe.) kama vile wakati fulani mlivyojitolea ninyi wenyewe kutumikia uchafu na uhalifu kwa ajili ya uovu, vivyo hivyo sasa jitoleeni nafsi zenu wenyewe kutumikia uadilifu kwa ajili ya utakatifu.
i speak after the manner of men because of the infirmity of your flesh: for as ye have yielded your members servants to uncleanness and to iniquity unto iniquity; even so now yield your members servants to righteousness unto holiness.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality: