From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kuna kesi za kutisha za ufujaji ambazo zinabidi kutupiwa macho na papa.
the serious and terrifying cases of embezzlement among others, merit papal attention.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ukubwa wa upinzani huo kwenye facebook haukupita bila kutupiwa macho na vyombo vikuu vya habari .
the scale of the protest on facebook did not go unnoticed in the polish mainstream media .
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
sharmin alivurumishiwa maneno ya kashfa na kutupiwa chupa za maji na alitupwa chini na kisha kupigwa.
memberse hurled brickbats and water bottles at sharmin and she was thrown to ground and beaten.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa mujibu wa akaunti yake ya facebook, aabdujalilova alikuwa ni mfuasi wa harakati hizo, na mtu aliyejitambulisha kwa jina muhammad salih alikuwa mmoja kati ya rafiki zake wa kwenye facebook.wanahabari wa mtandaoni na watumiaji wengine wa wavuti wanaamini kuwa hiyo ndio sababu iliyofanya binti huyu kuanza kutupiwa macho na mamlaka za uzbek.
according to her facebook account, abdujalilova was a supporter of this movement, and a person with the name muhammad salih was among her facebook friends. that was the reason, some netizens believe, that the young woman came to attention of the uzbek authorities.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: