Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
ee mungu, hebu tupumzishe - kama wamisri -kwa kuwaondolea mbali hawa "
oh god, let us rest - like the egyptians - by not having them."
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
maana hii ni damu yangu inayothibitisha agano, damu inayomwagwa kwa ajili ya watu wengi ili kuwaondolea dhambi.
for this is my blood of the new testament, which is shed for many for the remission of sins.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
kama watangazaji wakubwa wa matangazo hayo wataihisi kero inayosababishwa na mavuvuzela kiasi cha kuwaondolea raha ya kutazama kwa watazamaji wao, fifa italazimika kujirudi na kuyasitisha mavuvuzela kwenye viwanja vitakavyotumika kwenye mechi za kombe la dunia mwaka 2010.
if the world’s broadcasters feel the cacophony of vuvuzelas detracts from the viewing pleasure of their public, fifa will be forced to back down and ban the trumpets from the 2010 world cup stadiums.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mungu alimtoa yesu kusudi, kwa damu yake, awe njia ya kuwaondolea watu dhambi zao kwa imani yao kwake. alifanya hivyo ili apate kuonyesha kwamba yeye ni mwadilifu. hapo zamani mungu alikuwa mvumilivu bila kuzijali dhambi za watu;
whom god hath set forth to be a propitiation through faith in his blood, to declare his righteousness for the remission of sins that are past, through the forbearance of god;
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality: