Results for kwa neno la mungu wafilipi 4:13 translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

kwa neno la mungu wafilipi 4:13

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

neno la mungu limehakikiwa

English

the word of god

Last Update: 2023-04-09
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kutatizwa na neno la mungu

English

being distracted from the word of god

Last Update: 2021-02-12
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

neno la mungu ni la milele

English

neno la mungu halizuiliwi na siasaa wala sayansi

Last Update: 2021-02-08
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

¡neno la mungu ni nuru ya maisha

English

your goodness is an everlasting treasure.

Last Update: 2023-06-22
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

neno la mungu likazidi kuenea na kukua.

English

but the word of god grew and multiplied.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa sababu neno la mungu na sala hukifanya kitu hicho kikubalike kwa mungu.

English

for it is sanctified by the word of god and prayer.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

"basi, maana ya mfano huu ni hii: mbegu ni neno la mungu.

English

now the parable is this: the seed is the word of god.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

sisi, lakini, tutashughulika na sala na kazi ya kuhubiri neno la mungu."

English

but we will give ourselves continually to prayer, and to the ministry of the word.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

maana ujuzi wetu si kamili, na kipaji chetu cha kutangaza neno la mungu si kamili.

English

for we know in part, and we prophesy in part.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa sababu ya kuihubiri habari njema mimi nateseka na nimefungwa minyororo kama mhalifu. lakini neno la mungu haliwezi kufungwa minyororo,

English

wherein i suffer trouble, as an evil doer, even unto bonds; but the word of god is not bound.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

alikuwa amevaa vazi lililokuwa limelowekwa katika damu. na jina lake huyo ni "neno la mungu."

English

and he was clothed with a vesture dipped in blood: and his name is called the word of god.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

basi, hapaswi tena kumheshimu baba yake! ndivyo mnavyodharau neno la mungu kwa kufuata mafundisho yenu wenyewe.

English

and honour not his father or his mother, he shall be free. thus have ye made the commandment of god of none effect by your tradition.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

siku moja yesu alikuwa amesimama kando ya ziwa genesareti, na watu wengi walikuwa wamemzunguka wakisongana wanalisikiliza neno la mungu.

English

and it came to pass, that, as the people pressed upon him to hear the word of god, he stood by the lake of gennesaret,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

lakini yesu akawaambia watu wote, "mama yangu na ndugu zangu ni wale wanaolisikia neno la mungu na kulishika."

English

and he answered and said unto them, my mother and my brethren are these which hear the word of god, and do it.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

maana mungu ametia mioyoni mwao nia ya kutekeleza shabaha yake, yaani kwa kukubaliana wao kwa wao na kumpa huyo mnyama mamlaka yao ya kutawala, mpaka hapo neno la mungu litakapotimia.

English

for god hath put in their hearts to fulfil his will, and to agree, and give their kingdom unto the beast, until the words of god shall be fulfilled.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa hiyo, mitume kumi na wawili waliita jumuiya yote ya wanafunzi, wakasema, "si vizuri sisi tuache kulihubiri neno la mungu ili tushughulikie ugawaji wa mahitaji.

English

then the twelve called the multitude of the disciples unto them, and said, it is not reason that we should leave the word of god, and serve tables.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

lakini, wayahudi wa thesalonika walipogundua kwamba paulo alikuwa anahubiri neno la mungu huko berea, walikwenda huko, wakaanza kufanya fujo na kuchochea makundi ya watu.

English

but when the jews of thessalonica had knowledge that the word of god was preached of paul at berea, they came thither also, and stirred up the people.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

huyu alikuwa pamoja na sergio paulo, mkuu wa kile kisiwa, ambaye alikuwa mtu mwelewa sana. sergio paulo aliwaita barnaba na saulo ili asikie neno la mungu.

English

which was with the deputy of the country, sergius paulus, a prudent man; who called for barnabas and saul, and desired to hear the word of god.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

nanyi wake, jiwekeni chini ya mamlaka ya waume zenu, ili kama wako waume wowote wasioamini neno la mungu, wapate kuamini kwa kuuona mwenendo wenu. haitakuwa lazima kwenu kusema neno,

English

likewise, ye wives, be in subjection to your own husbands; that, if any obey not the word, they also may without the word be won by the conversation of the wives;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

tumeyaacha kabisa mambo yote ya aibu na ya kisirisiri. hatuishi tena kwa udanganyifu, wala kwa kulipotosha neno la mungu; bali tunaudhihirisha ukweli kwa kuufanya ukweli, na hivyo kujiweka chini ya uamuzi wa dhamiri za watu mbele ya mungu.

English

but have renounced the hidden things of dishonesty, not walking in craftiness, nor handling the word of god deceitfully; but by manifestation of the truth commending ourselves to every man's conscience in the sight of god.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,773,253,520 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK