Results for kwamba hakuna kazi kunaweza translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

leo hakuna kazi mpaka kesho

English

no work today who anaform

Last Update: 2020-10-08
Usage Frequency: 2
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

vijimambo kwamba hakuna hatua inayoonekana kwa unafuu.

English

no big or systematic efforts for aid.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hakuna kazi kabisa katika kijiji chao.

English

there is no work whatsoever in the village.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mashitaka hayo yanapingana na matamshi ya kiongozi wa mashitaka kwamba hakuna ushahidi wa kutosha.

English

this is in conflict with the comments made by the head of prosecuting team that there is not yet enough probable cause.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

tunatumaini kuwa kutakuwa na uchunguzi wa kina juu ya kuungua kwa makaburi hayo na kwamba hakuna atakayepoteza maisha na mali.

English

we only hope there will be a thorough investigation into the burning of the tombs and that no people will lose their lives and property.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kama nchi inaelekea kwenye mwelekeo sahihi na museveni anafanikiwa kwa alama za juu, mantiki ni kwamba hakuna tatizo.

English

if the country is going in the right direction and museveni achieves high marks, the logic is there is no problem.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kisha akasema, "ndiyo maana niliwaambieni kwamba hakuna awezaye kuja kwangu asipowezeshwa na baba yangu."

English

and he said, therefore said i unto you, that no man can come unto me, except it were given unto him of my father.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

zaidi ya hayo, lakini, kumbukeni kwamba hakuna mtu yeyote awezaye kufafanua mwenyewe unabii ulio katika maandiko matakatifu.

English

knowing this first, that no prophecy of the scripture is of any private interpretation.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

sasa, maadam inahubiriwa kwamba kristo amefufuliwa kutoka wafu, baadhi yenu wanawezaje kusema kwamba hakuna ufufuo wa wafu?

English

now if christ be preached that he rose from the dead, how say some among you that there is no resurrection of the dead?

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

naahidi kwa ule ukweli wa kristo ulio ndani yangu, kwamba hakuna kitakachoweza kunizuia kujivunia jambo hilo popote katika akaya.

English

as the truth of christ is in me, no man shall stop me of this boasting in the regions of achaia.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

wakati wengi wanaweza kuona kwamba hakuna lolote la maana kwa maelezo haya, na ni maelezo mepesi yasiyoeleza kile kinachoendelea hasa nchini humo.

English

while many may see that there is nothing wrong with this description, it is simplistic and doesn’t capture what is happening on the ground.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hii iliungwa mkono kwa njia isiyo ya moja kwa moja na ukweli kwamba hakuna visa zaidi vya sars vilvyoripotiwa baada ya kuuawa kwa ngawa wote waliokuwa sokoni.

English

this was indirectly supported by the fact that no further sars was reported after killing all civets in the markets.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hata hivyo hana taarifa za wanafamilia wengine...hasa ukizingatia kwamba hakuna mfumo wa usafiri unaofanya kazi, kila mmoja anatembea kwa miguu, kwa hiyo kuna taabu kweli ya kuwasiliana.

English

she has no news about the rest of the family though...given that no transport is functioning everybody is on foot, so its really difficult to communicate.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mtu asemaye hivyo heri akumbuke kwamba hakuna tofauti ya yale tunayoandika katika barua wakati tuko mbali, na yale tutakayofanya wakati tutakapokuwa nanyi.

English

let such an one think this, that, such as we are in word by letters when we are absent, such will we be also in deed when we are present.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hata hivyo, baada ya kufanyiwa upembuzi zaidi imeonekana kwamba hakuna mabadiliko yaliyofanyika kwenye mswada huo, na bado uko vilevile kama ulivyowasilishwa mwaka 2009.

English

however, under further scrutiny it has been noted that no changes have been made in the bill, and it is still exactly the same one presented back in 2009.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ni maoni yetu kwamba hakuna kiasi cha kero za kijamii ama dhidi ya serikali na au watu wa nigeria unaweza kuhalalisha tendo hili la unyanyasaji dhidi ya watoto wa shule.

English

we are of the strong view that no amount of social grievance either against the government and or the people of nigeria can justify such an act of violence against school children.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

inaonekana kwamba hakuna mtu alikuwa na ufahamu wa kuja kwetu basi akaunti ya sindano ikawa ndogo kuliko ilivyotarajiwa (109 katika siku moja).

English

it appears that nobody was aware of our coming so the account of injections was lesser than expected (109 in one day).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

habari mbaya kwa wa-cuba wenye ngozi nyeusi au yenye mchanganyiko wa weusi na weupe ni kwamba hakuna taasisi huru za kisheria itawalinda kutelekezwa na serikali.

English

the worst news for black and mixed-race cubans is that there are no independent legal institutions that protect them in the face of government neglect.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

tuliwafahamisha kwamba tunaelewa kwamba ombi letu la kughairisha na vikwazo vingine vinaweza kuifanya iwe vigumu kukamilisha shughuli zao zilizokubaliwa za ruzuku na kwamba hakuna yeyote ataadhibiwa kwa kuchelewesha au kurekebisha malengo hayo.

English

we let them know that we understood that our request for cancellations and other restrictions could make it impossible to complete their agreed-upon grant activities and that no one would be penalized for having to delay or modify those goals.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

maisha ya kila siku yanatupa nafasi kufunga macho yetu na kujifanya kana kwamba hakuna shida.kipindi hiki kinatuletea moja kwa moja kwenye sebule zetu kikiwa na maelezo ya kweli pamoja na tarakimu zake.

English

our daily lives allow us the option of closing our eyes and pretending there is no problem. this show brings it right inside our living rooms, with full facts and figures.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK