Results for la sivyo translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

huenda sivyo.

English

perhaps not.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sivyo hivyo!

English

do not.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tena sivyo hivyo!

English

again, nay!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sivyo hivyo! mtakuja jua!

English

but nay, ye soon shall know (the reality).

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hivyo ndivyo ilivyo, sivyo

English

if that's the case, isn't it?

Last Update: 2024-04-10
Usage Frequency: 4
Quality:

Swahili

hivyo sivyo ninavyomaanisha, hello!!

English

that is so not what i mean, hello!!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tena sivyo hivyo! mtakuja jua!

English

again lo! presently ye shall know.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hivyo sivyo ninavyotaka kutoka kwake.

English

that is not what i want from it.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

la sivyo, baada ya kuweka msingi na kushindwa kumaliza, watu watamcheka

English

lest haply, after he hath laid the foundation, and is not able to finish it, all that behold it begin to mock him,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sivyo hivyo! bali nyinyi hamuwakirimu mayatima,

English

(since wealth does not necessarily guarantee everlasting happiness) then why do you not show kindness to the orphans,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama ukizaa matunda mwaka ujao, vema; la sivyo, basi utaweza kuukata."

English

and if it bear fruit, well: and if not, then after that thou shalt cut it down.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

sivyo hivyo! bali nyinyi mnaikanusha siku ya malipo.

English

even then you deny the judgement.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na wakikujia hukuamkia sivyo anavyo kuamkia mwenyezi mungu.

English

and when they come to you, they greet you with a greeting that god never greeted you with.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nyumbani mwa baba yangu mna makao mengi; la sivyo ningalikwisha waambieni. sasa nakwenda kuwatayarishieni nafasi.

English

in my father's house are many mansions: if it were not so, i would have told you. i go to prepare a place for you.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini kwa vile huyu mjane ananisumbua, nitamtetea; la sivyo ataendelea kufika hapa, na mwisho atanichosha kabisa!"

English

yet because this widow troubleth me, i will avenge her, lest by her continual coming she weary me.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

basi, achana na madhambi yako. la sivyo, nitakuja kwako upesi na kupigana na watu hao kwa upanga utokao kinywani mwangu.

English

repent; or else i will come unto thee quickly, and will fight against them with the sword of my mouth.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"jihadharini msije mkafanya matendo yenu mema mbele ya watu kusudi mwonekane nao. la sivyo, baba yenu aliye mbinguni hatawapeni tuzo.

English

take heed that ye do not your alms before men, to be seen of them: otherwise ye have no reward of your father which is in heaven.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

"muwe macho, mioyo yenu isije ikalemewa na anasa, ulevi na shughuli za maisha haya. la sivyo, siku ile itawajieni ghafla.

English

and take heed to yourselves, lest at any time your hearts be overcharged with surfeiting, and drunkenness, and cares of this life, and so that day come upon you unawares.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

ili, watazame kweli, lakini wasione. wasikie kweli, lakini wasielewe. la sivyo, wangemgeukia mungu, naye angewasamehe."

English

that seeing they may see, and not perceive; and hearing they may hear, and not understand; lest at any time they should be converted, and their sins should be forgiven them.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

watumiaji wa twita jihadharini, safisheni makasha yenu ya ujumbe binafsi la sivyo kuna mtu atafungua kwa nguvu na kugawa mawasiliano yako binafsi kwa #wikileaks #cablegate

English

tweeters beware, cleanup your dm box or soon someone will break in and give your dms to #wikileaks #cablegate

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,913,971,135 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK