Results for lango limepinda translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

lango limepinda

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

lango

English

gate

Last Update: 2023-07-29
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

doria inaendelea kuja na kwenda katika lango kuu la chuo kikuu.

English

patrols keep coming and going to the university main entrance.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

malaika biko na brutu, waharakishe kuingia kwake kwenye lango la mbingu

English

angels biko and brutus, quicken his pace to heavensgate

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wanafunzi wapatao 70 wa kiafrika walikusanyika karibu na lango la bustani hiyo kuhudhuria ibada hiyo.

English

around 70 african students gather near an entrance of the park to join the vigil.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

walipofika nyumbani jioni ile, walikuta ndiyo kwanza theluji imeondolewa kutoka kwenye lango la kuingilia nyumbani kwao.

English

in the evening when they got home, the snow was freshly swept away from their gate.

Last Update: 2023-07-29
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wahuni hao walifunga lango kuu la kuingilia kwenye jengo la gazeti hilo mnamo tarehe 13 oktoba na kuzuia magazeti kupandishwa kwenye magari ya kusambaza.

English

they blocked the entrance of apple daily on october 13 and obstructed the papers from being loading onto the trucks.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

dakika tano kabla ya mpira kumalizika, simba wakapata adhabu ndogo kutokea winga ya kulia, karibu na ndani ya lango la yanga.

English

five minutes from the end of the match, simba got a free-kick on the right wing, near the edge of yanga's box.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baada ya kitu kama dakika tano hivi za vurugu, waendesha magari wachache wanaweza kuendesha magari yao ili kurudi nyumbani baada ya kuwaamuru walinzi kufungua lango lenye urefu wa futi 15.

English

after five minutes of torpor, the few motorists able to drive back home force the guards to open the 15 ft high fence.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watu wameingiwa na ukichaa, wanajaribu kukimbilia sehemu ya patroo huku walinzi - akiwemo mmoja aliyejeruhiwa vibaya - wakijaribu kufunga lango lililo nyuma yetu.

English

madness has taken over the passers-by trying to seek refuge in the patrol while the security guards - including one seriously wounded - shut the gate behind us.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@gsquare86: lango la kasr el nile lilikuwa na mpangilio mzuri sana na usalama wa hali ya juu http://yfrog.com/h4enlpxj

English

@gsquare86: kasr el nile entrance got really organized and intensely secured http://yfrog.com/h4enlpxj

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

huenda alikuwa hajaamka bado, au labda ile theluji ilifunika tu ile chuki yake, au labda aliipuuzia,lakini hakugundua kwamba siyo kuwa alikuwa amesukumizia theluji mbele ya lango la jirani yake, bali aliiondoa kabisa kutoka hapo.

English

maybe he wasn't awake yet, or the snow just covered his dislike, or simply he overlooked it, but he didn't notice that he had shoveled the snow not in front of the neighbour's gate, but away from it.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,747,036,434 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK