From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
only an approximate 420 remain in laos.
only an approximate 420 remain in laos.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
utafiti huo ulihusisha nchi za thailand, kambodia, laos na vietnam.
the study covered thailand, cambodia, laos, and vietnam.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kiasi cha tembo wanaoshikiliwa waliosalia laos kinakadiriwa kuwa ni tembo 420.sadly captive elephant populations are in decline.
sadly captive elephant populations are in decline.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
pia, kuna hospitali ya kwanza kabisa ya tembo nchini laos, ambapo pia, imekuwa ikitumika kama eneo la utalii la kutunza mali asili.
it is also the first elephant hospital in laos as well as serving as an ecotourism camp.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kundi la cleanbirth.org lina nia ya kuboresha hali ya huduma ya afya ya uzazi katika baadhi ya vijiji vya laos vijijini kwa kutoa vifaa vya kuzalisha, mafunzo ya wauguzi wapya na kuhamasisha kujitolea kwa wana kijiji.
the group cleanbirth.org is committed to improving the maternal health care situation in several laos rural villages by providing birth kits, training of new nurses and mobilizing village volunteers.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kama ilivyo kwa nchi nyingine nyingi, tembo wasiofugwa huko laos, maisha yao huatarishwa na shughuli za kiuchumi za binadamu. shughuli hizi ni pamoja na ukataji miti hovyo, uwindaji haramu, upanuzi wa makazi ya watu pamoja na tembo kuuawa pale wanapoharibu mazao au kusogelea makazi ya watu.
like many other countries, wild elephants in laos are threatened by problems caused by humans.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: