Results for lazima isiwe na kipande translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

lazima isiwe na kipande

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

badala yake, picha hizo zilikuwa mithili ya mafuta yaliyoongezwa kwenye moto unaowaka, kiasi kwamba baadhi hata wanathubutu kuhoji uhalisi wa mkutano huo kwa sababu hapakuwa na kipande cha rekodi ya sauti na video kuthibitisha madai hayo.

English

instead, the images have further fanned the criticism, and some are doubting the authenticity of the meeting because there is no audio or video footage to back it up.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kitumizi hiki kimebuniwa na zabatak, (@zabatak),ni mkakati usio wa kimaslahi wenye lengo la kuifanya misri isiwe na hongo, wala isiwe na rushwa na iwe salama.

English

the application is created by zabatak, (@zabatak), a non-profit initiative which aims at making egypt become bribery free, corruption-free and safe.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ikiwa nyinyi mna shaka ya kufufuliwa basi kwa hakika sisi tulikuumbeni kutokana na udongo, kisha kutokana na manii, kisha kutokana na kipande cha damu ilio gandana, kisha kutokana na kipande cha nyama chenye umbo na kisicho kuwa na umbo, ili tukubainishieni.

English

if you are in doubt about the resurrection, [consider that] we created you from dust, then from a drop of [seminal] fluid, then from a clinging mass, then from a fleshy tissue, partly formed and partly unformed, so that we may manifest [our power] to you.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

enyi watu! ikiwa nyinyi mna shaka ya kufufuliwa basi kwa hakika sisi tulikuumbeni kutokana na udongo, kisha kutokana na manii, kisha kutokana na kipande cha damu ilio gandana, kisha kutokana na kipande cha nyama chenye umbo na kisicho kuwa na umbo, ili tukubainishieni.

English

if you have any doubt, o men, about being raised to life again, (remember) that we created you from dust, then a drop of semen, then an embryo, then a chewed up lump of flesh shaped and shapeless, that we may reveal (the various steps) to you.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

utafiti kuhusu dawa ya chloroquine na hydroxychloroquine iwe au isiwe na chembe cha azithromycin una upungufu mkubwa ambao umewazuia wataalamu wa matibabu kukumbatia matibabu haya bila utafiti zaidi kufanywa. oseltamivir haizuii sars-cov-2 katika utungishaji na haina jukumu linalofahamika katika matibabu ya covid-19.

English

the studies of chloroquine and hydroxychloroquine with or without azithromycin have major limitations that have prevented the medical community from embracing these therapies without further study.oseltamivir does not inhibit sars-cov-2 in vitro and has no known role in covid-19 treatment.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
7,774,093,576 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK