From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kuongeza haidrojeni peroksaidi iliyoyeyushwa huzidisha shughuli ya kupambana na uchafu.vieuzi vya mikono vilivyo na angalau 60 hadi 95% ya alkoholi hufaa katika kuuwa viini.
adding diluted hydrogen-peroxide increases further the antimicrobial activity.hand sanitizers containing a minimum of 60 to 95% alcohol are efficient germ killers.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
uchunguzi wa utaratibu wa tafiti 70 ulipata kuwa mbinu zinazohusisha jamii hufaa katika kuongeza kuosha kwa mikono katika lmic, huku kampeni za kuhimiza jamii kubadilisha tabia zikifaa kwa kiwango cha chini.mfano moja wa ukuzaji wa kuosha mikono katika shule ni "mbinu ya nyota tatu" ya unicef inayohimiza shule kuchukua hatua rahisi, zenye gharama ya chini ili kuhakikisha kuwa wanafunzi wanaosha mikono yao kwa sabuni, kati ya mahitaji mengine ya usafi.
a systematic review of 70 studies found that community-based approaches are effective at increasing hand washing in lmics, while social marketing campaigns are less effective.one example for hand washing promotion in schools is the "three star approach" by unicef that encourages schools to take simple, inexpensive steps to ensure that students wash their hands with soap, among other hygienic requirements.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.