From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
majuma machache yaliyopita, wananchi walianza kudodosa kuhusu nani hasa anaweza kumrithi rais ikiwa yeye mwenyewe hatajitokeza tena mwaka 2016 kwa awamu nyingine ya nne.
a few weeks ago, citizens started speculating about who will succeed the president if he does not come back in 2016 for a forth term.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
angalau kumekuwa na makala 19 ya matukio ya vurugu tangu mwanzo wa 2014 nchini burundi kabla ya uchaguzi wa rais vituo vya machafuko juu ya marekebisho ya katiba iliyopendekezwa na rais nkurunziza ambayo inaweza kumruhusu kugombea kwa awamu ya tatu.
at least 19 violent incidents have been documented since the beginning of 2014 in burundi ahead of the presidential elections. the unrest centers on amendments to the constitution proposed by president nkurunziza that could allow him to run for a third term.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
maoni ya mwanzo katika ulimwengu wa blogu na ule wa twita yalitofautiana kutokea yale yanayosema kwamba hali iliyopo ni sawa na mapinduzi ya kijeshi mpaka yale yanayosema kuwa ile ilikuwa ndio njia pekee ya kukomesha jitihada za zelaya za kutaka kugombea urais kwa awamu nyingine tena.
the reaction from the blogosphere and twittosphere ranged from calling the situation a coup d'état to those who saw the move as the only way to stop zelaya's controversial move.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
watafiti wanaofanya kazi katika mji wa italia wa vò, eneo la kisa cha kwanza cha kifo kutokana na covid-19 nchini italia, waliendesha awamu mbili za vipimo kwa idadi nzima ya watu 3,400, takriban kwa utofauti wa siku kumi.
researchers working in the italian town of vò, the site of the first covid-19 death in italy, conducted two rounds of testing on the entire population of about 3,400 people, about ten days apart.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
josipović anakuwa rais wa kwanza tangu croatia ipate uhuru kwa kushidwa kuchaguliwa kama rais kwa awamu ya pili ya uongozi tofauti na marais wengine kama franjo tuđman, rais wa kwanza wa croatia, pamoja na stjepan mesić ambao wote waliongoza kwa vipindi vyote viwili.
josipović becomes the first croatian president since the country's independence who didn't win reelection for a second term, as both franjo tuđman, croatia's first president, and stjepan mesić were both reelected for two full terms each.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
@timkalyegira: maelfu ya wa-nyarwanda wenye kutiririkwa na machozi hivi karibuni wataanza kuviambia vyombo vya habari vya kimataifa namna gani watajisikia kusalitiwa kama kagame hatagombea kwa awamu ya tatu.
@timkalyegira: thousands of tearful rwandans will soon start narrating to world media how betrayed they will feel if kagame does not seek a third term.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.