From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
madagascar: kuishi ughaibuni hubadili uhusiano
madagascar: living abroad changes a man · global voices
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
misitu ya madagascar inateketezwa kwa $460,000 kwa siku
madagascar's forests decimated for $460,000 a day · global voices
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
madagascar: global voices katika kimalagasi yapiga hatua kubwa
madagascar: global voices in malagasy reaches milestone · global voices
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ufaransa- mkanganyiko kati ya guadeloupe na madagascar kwa ajili ya i-télé
france - confusion between guadeloupe and madagascar for i-télé
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
suala hili la ufisadi wa rosewood hivi sasa unaathiri mchakato wa kisiasa nchini madagascar.
the rosewood scandal have now had a serious impact in the political process of madagascar.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mtandao wa tananews nchini madagascar umechapisha orodha kamili ya mawaziri 31 wa serikali mpya ya madagaska .
tananews in madagascar has published the full list of the 31 members of the new malagasy government .
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
asasi isiyo ya kiserikali vakanala imetengeneza onyesho la pande 3 la moto katika misitu inayoiathiri madagascar:
the ngo vakanala has produced a remarkable 3d real time visualization of the numbers of bush fires affecting madagascar:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
dhima ya wamadagascar walio nchi za mbali kwa maendeleo ya nchi yao imewahi kujadiliwa hapo kabla katika ulimwengu wa wanablogu wa madagascar.
the role of the diaspora in the development of madagascar has been discussed previously in the malagasy blogosphere.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
makao yao makuu yalivamiwa na shirika la samaki na wanyamapori la marekani kwa kuwa magitaa yao yanatengenezwa kwa mbao za rosewood zinazotokana na biashara haramu huko madagascar.
their headquarters were raided by the us fish and wildlife service because the guitars were made from rosewood from the illegal traffic in madagascar.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
blogu ya l'express mada ilitoa taarifa kwamba kijiji kizima cha andranondambo kilichoko kusini mwa madagascar kiliharibiwa kufuatia mapigano ya wanakijiji yaliyosababishwa na mzozo wa kumiliki ardhi.
l'express mada reports that the entire village of andranondambo in the south of madagascar was destroyed during an inter-village conflict that stems from a dispute over land rights.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
léa ratsiazo wa antananarivo alihoji kwenye safu yake iliyoko kwenye jarida la madagascar tribune kuhusu uwezo halisi wa nchi hiyo wa kudhibiti uwezekano wa kuenea kwa ebola nchini madagaska, kufuatia matukio ya hivi karibuni kwenye hospitali iliyoko jijini antananarivo:
léa ratsiazo in antananarivo questioned in a column for newspaper the madagascar tribune the country’s real ability to counteract the potential arrival of ebola in madagascar, in the light of a recent event in a hospital in the capital:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa kuangalia maoni ya watumiaji wa twita, kwamba gibson guitars walihisishwa ni ukweli ambao ulisababisha maoni mengi zaidi kuliko kupotea kwa makazi pekee ya nyani mwenye mkia wa miaraba (ambaye anapatikana huko madagascar pekee).
judging from reactions of twitter users around the world, the fact that gibson guitars were implicated provoked more reactions that the potential loss of the ring-tail lemur habitat.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kuna kurasa za kutafiti za twita “#madagascar”, ambalo ndio neno-kiini ambalo watu wamekuwa wakilitumia wakati wote katika majuma yaliyopita ambayo yalijaa fukuto la kisiasa na ghasia za hapa na pale.
this is a live search of twitter for "#madagascar", which is the tag people have been using throughout the past weeks of political tension and occasional violence.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting