From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
tafadjhali husika na mada tajwa hapo juu, mimi ni mwalimu mahili niliehitimu mafunzo yangu ya ualimu katika chuo kikuu cha dodoma mwaka 2021 na kuweza kufaulu kuwa na umahili kazini ndani ya muda wa miaka zaidi ya minne na kwa kuwezesha kufaulisha wanafnzi wengi waliotahiniwa na mitihani ya taifa necta ikiwa ufaulu huu ni jumuishi kwa mbinu mbalimbali za kufundishiaji na kujifunzia nimezokuepo nikizitumia hasa wakati wa ufundishaji wa wanafunzi wa rika zote
in the context of the topic mentioned above, i am a teacher who graduated from my teaching training at the university of dodoma in 2021 and managed to have a career in the space of more than four years and by enabling many students to be tested by the national necta exams if this achievement is inclusive of the various teaching and learning methods i have been using especially during the teaching of students of all ages.
Last Update: 2025-02-17
Usage Frequency: 1
Quality: