Ask Google

Results for majeruhi translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

Kuna idadi kubwa sna ya majeruhi hapa!

English

There's a huge number of injured people here!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Tunawatakia majeruhi wa shambulio kupona kwa haraka.

English

All our thoughts are with the victims of the attack.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Kwa hiyo majeruhi tuliowaona jana wametokana na hisia zetu

English

The injuries last night were a figment of our imagination

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Milio ya risasi inasikika na kuna majeruhi wengi.

English

Gunshots and many injuries.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Ni majengo matatu kutoka hapa nilipo; kuna majeruhi!

English

Its three building away from me; there are casualties!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Nilichofanya pale ilikuwa ni kuwasafirisha majeruhi kwenda hospitali ya Tarchileik.

English

What I had to do there was to send wounded people to Tarchileik hospital.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Majeruhi wamepelekwa katika Hospitali ya Tarchileik na ile ya Mine Phyat.

English

Wounded people have been sent to Tarchileik Hospital and Mine Phyat Hospital.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Sudani: “Polisi Yakanusha Kutumia Risasi; Majeruhi wote ni Wakufikirika

English

Sudan: "Police Denies Use of Bullets; All Injuries are Imaginary" · Global Voices

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Kwa jinsi polisi wa kutuliza ghasia wanavyoshambulia Maidan majeruhi kadhaa waliripotiwa maeneo yote.

English

As special forces began storming Maidan numerous injuries were reported on both sides.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Kuna wasiwasi kuwa polisi wanaweza kuanza kuwakamata wale wanaotoa taarifa za majeruhi, na akatwiti:

English

There were concerns that police might arrest those who report injuries, and she tweeted:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mwenzake, kijana mdogo, naye anaitoa bunduki yake na kuiweka kwa majeruhi huyo, wakati wawili hao wakitoroka.

English

His companion, a younger man, also pulls out a gun and keeps it trained on the injured man, as the two exit the carriage.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Hapakuwa na majeruhi walioripotiwa lakini (tetemeko) lilitikisa na kuwaathiri watu wa jiji kubwa lenye wakazi wengi la Dhaka.

English

Apparently no casualties were reported but it rattled the affected people of Dhaka, a populous mega city.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mooja wa majeruhi, inasemekana ni mpiga mpiga wa idhaa ya televisheni ya RTA (uthibitisho rasmi bado unasubiriwa).

English

Among the casualties, is said to be a cameraman from the RTA TV station (official confirmation still pending).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Kwa mujibu wa ripoti rasmi za hivi karibuni, zaidi ya watu 2,000 wamefariki lakini majeruhi wanaweza kuwa zaidi kwa sababu maiti mingi bado haijapatikana.

English

According to the latest official report, more than 2,000 have died but the casualties could be higher because many dead bodies have yet to be retrieved.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Mpaka sasa taarifa za majeruhi wanaotokana na tetemeko la ardhi lililoikumba Haiti zimejikita kwenye takwimu za kutisha, lakini ni majina machache tu ndiyo yameambatanishwa kwenye namba hizo.

English

So far the casualty reports from Haiti's earthquake have focused on the terrifying statistics, but very few names had been attached to those numbers.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Dhoruba kubwa ya kitropiki ya Maring ilisababisha mafuriko makubwa kuwahi kutokea katika Metro Manila na mikoa ya jirani nchini Ufilipino ambayo ilisababisha vifo vya watu 8, majeruhi 41, na 4 wakiwa hawajulikani walipo.

English

Tropical storm Maring (international name Trami) caused record high floods in Metro Manila and nearby provinces in the Philippines which left 8 people dead, 41 injured, and 4 missing.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Majeruhi wa risasi hiyo alikuwa Hashim Latipov, raia wa Dagestan, wakati wanaume hao wawili waliompiga risasi, wanaonekana bila sababu yoyote, kuwa Warusi wabaguzi wa rangi.

English

The shooting victim was Hashim Latipov, a Dagestani, while the two men that shot him, seemingly for no reason, looked to be ethnic Russians.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@Abdulhadikhalaf: Wizara ya mambo ya ndani iliyo katili inajaribu kuvunja mlango**** ndio maana kuna idadi kubwa ya majeruhi miongoni mwa waonevu?

English

@Abdulhadikhalaf: Ministry of Interior thugs try to break a door****is that why there are numerous injuries among thugs?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Usiku kucha wa Machi 9 hadi asubuhi ya Machi 10, 2012, ndege za kivita za Israeli zilifanya mashambulizi kwa kuchagua maeneo kwenye Ukanda wa Gaza, na kuua takribani watu 12 na kuacha wengine 20 wakiwa majeruhi.

English

Throughout the night of March 9 and into the morning of March 10, 2012, Israeli warplanes attacked targets across the Gaza Strip, with a death toll of at least 12, and 20 injured.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Tuliendelea kuendesha kwa muda wa saa moja tukipita katika majengo yaliyoporomoka, watu wakikimbia hovyo, wengine wakilia na kuliitia jina la Yesu, wengine wakimwita kwa ishara za mikono, vichwa vikiwa vimejaa vumbi jeupe, wakitazama huku na huko pasipo kuamini yaliyotokea, majeruhi, maiti au vipande vya miili ya watu...

English

We will be driving for an hour between collapsed buildings, people running, weeping and yelling their faith in Jesus and calling him with arm signs, heads whitened by dust eying in disbelief, injured people, corpses or bits of them...Jean-Claude goes on energetically singing his faith during the whole trip.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK