Results for makumi translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

makumi

English

tens

Last Update: 2021-09-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

blogu hii imepokea makumi elfu ya watembeleaji wapya katika juma moja tu

English

this blog has received tens of thousands of new visitors in one week alone.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

inmeripotiwa pia kuwa, zaidi ya makumi mawili ya watu walijeruhiwa kwa risasi na visu.

English

dozens of people were also reportedly injured by shotgun and knife wounds.

Last Update: 2023-11-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ni mbinu ya utesi na ukatili, iliyoundwa ili kuwagaidi makumi ya mjaelfu ya raia wakiwa majumbani mwao.

English

it is a sadistic and cruel tactic, designed to terrorize hundreds of thousands inside their own homes.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

harusi za pamoja zilizoandaliwa kwa ajili ya kufungisha ndoa za makumi ya maarusi huko daikundi, katikati ya afghanistan.

English

collective wedding organized for tens of couples in daikundi, central afghanistan.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

alituacha sote tukiogopa, lakini leo alituambia kuwa kumbe waisraeli waliwapigia simu za namna hiyo kwenye makumi ya maelfu ya nyumba.

English

it had left us all terrified, but today he told me it had become apparent that the israeli army had sent that message to tens of thousands of homes.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kodivaa ni nchi inayojikakamua kupata nafuu baada ya vita vikali vya wenyewe kwa wenyewe vilivyoua makumi ya maelfu ya watu na kuwahamisha malaki ya watu kutoka kwenye makazi yao kati ya mwaka 2002 na mwaka 2007.

English

ivory coast is a country struggling to recover after a bloody civil war that resulted in ten of thousands dead and hundreds of thousands displaced between 2002 and 2007.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

miaka miwili iliyopita, makumi ya maelfu ya wa-masedonia yaliingia mtaani kuandamana dhidi ya umasikini na ufisadi kwenye nchi hiyo yenye idadi ya watu milioni mbili.

English

two years ago, tens of thousands of macedonians took to the streets to protest against poverty and corruption in their country of two-million.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa kuongeza, kadiri vyazo vyetu vya habari vinavyotumia lugha zaidi ya moja vinavyozidi kuongezeka, makumi mawili ya makala kila mwezi huwa zinaandikwa moja kwa moja kwa lugha nyingine mbalimbali zaidi ya kiingereza.

English

additionally, as our multilingual newsroom grows, dozens of posts each month are originally written in languages other than english.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

makumi kadhaa waliuawa mnamo agosti 16, wakati wafuasi wa udugu wa ki-islamu walipokuwa wakipambana na vikosi vya usalama katika "siku ya hasira."

English

dozens more were killed on august 16, as muslim brotherhood supporters clashed with security forces in the "day of anger."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

katika habari moja mpya, laith anaripoti: laith: baghdad: makumi ya familia kutoka eneo la alkaradah walizuiliwa kupiga kura kwa sababu majina yao hayapo kwenye daftari ya wapiga kura.

English

in one update, laith reports: laith: baghdad: tens of families from the alkaradah region denied voting because their names are not on the voters register

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,907,098,400 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK