Demander à Google

Vous avez cherché: makumi (Swahili - Anglais)

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Anglais

Infos

Swahili

Blogu hii imepokea makumi elfu ya watembeleaji wapya katika juma moja tu

Anglais

This blog has received tens of thousands of new visitors in one week alone.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

Inmeripotiwa pia kuwa, zaidi ya makumi mawili ya watu walijeruhiwa kwa risasi na visu.

Anglais

Dozens of people were also reportedly injured by shotgun and knife wounds.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

Ni mbinu ya utesi na ukatili, iliyoundwa ili kuwagaidi makumi ya mjaelfu ya raia wakiwa majumbani mwao.

Anglais

It is a sadistic and cruel tactic, designed to terrorize hundreds of thousands inside their own homes.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

Harusi za pamoja zilizoandaliwa kwa ajili ya kufungisha ndoa za makumi ya maarusi huko Daikundi, katikati ya Afghanistan.

Anglais

Collective wedding organized for tens of couples in Daikundi, central Afghanistan.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

Makumi ya waandamanaji walikuwa wakisubiri katika kitengo cha polisi cha Budapest hadi saa nane usiku wa Alhamisi wakisubiri kuachiwa kwa wenzao.

Anglais

Dozens of protesters waited at a Budapest police department for their release until 2 AM on Thursday.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

Alituacha sote tukiogopa, lakini leo alituambia kuwa kumbe Waisraeli waliwapigia simu za namna hiyo kwenye makumi ya maelfu ya nyumba.

Anglais

It had left us all terrified, but today he told me it had become apparent that the Israeli army had sent that message to tens of thousands of homes.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

Hii ndiyo sehemu ya iliyobaki yaKesennuma, mji mdogo, wakati fulani uliwahi kuwa na makumi ya maelfu ya wakazi.

Anglais

This is what remains of Kesennuma, a small town, once with tens of thousands of inhabitants.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

Kwa kutumia ngalawa zilizotengenezwa kwa mkono, na kwa ushirikiano wa makumi ya wenyeji wa Australia, waliweza kuzuia meli kumi zilizokuwa zimepangwa kupita kwenye bandari ya Newcastle.

Anglais

Using hand carved canoes, they, along with dozens of Australians in kayaks, were able to prevent 10 scheduled ships from passing through the Newcastle coal port.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

Kodivaa ni nchi inayojikakamua kupata nafuu baada ya vita vikali vya wenyewe kwa wenyewe vilivyoua makumi ya maelfu ya watu na kuwahamisha malaki ya watu kutoka kwenye makazi yao kati ya mwaka 2002 na mwaka 2007.

Anglais

Ivory Coast is a country struggling to recover after a bloody civil war that resulted in ten of thousands dead and hundreds of thousands displaced between 2002 and 2007.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

Miaka miwili iliyopita, makumi ya maelfu ya wa-Masedonia yaliingia mtaani kuandamana dhidi ya umasikini na ufisadi kwenye nchi hiyo yenye idadi ya watu milioni mbili.

Anglais

Two years ago, tens of thousands of Macedonians took to the streets to protest against poverty and corruption in their country of two-million.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

Wiki iliyopita, Boko Haram waliwafyatulia risasi wanafunzi katika chuo cha kilimo kilichopo katika jimbo la Yobe, waliwaua kwa risasi makumi mawili ya wanafunzi waliokuwa na umri wa kati ya miaka 18 na 22 waliokuwa wamelala katika bweni lao.

Anglais

Last year, Boko Haram opened fire on students at the College of Agriculture in Yobe state, gunning down dozens of students aged 18 to 22 while they slept in a dormitory.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

Kwa kuongeza, kadiri vyazo vyetu vya habari vinavyotumia lugha zaidi ya moja vinavyozidi kuongezeka, makumi mawili ya makala kila mwezi huwa zinaandikwa moja kwa moja kwa lugha nyingine mbalimbali zaidi ya Kiingereza.

Anglais

Additionally, as our multilingual newsroom grows, dozens of posts each month are originally written in languages other than English.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

ndio nilikuwa nimemaliza elimu yangu ya sheria jijini Lima. ilikuwa ni mwaka 1993 na ambapo wakati huo Peru yangu niipendayo ndiyo ilikuwa inajijenga mara baada ya miaka 12 ya machafuko ya wenyewe kwa wenyewe yaliyogharimu maisha ya makumi elfu ya watu.

Anglais

I had just graduated from law school in Lima. It was late 1993 and my beloved Peru was recovering from 12 years of internal conflict which had claimed tens of thousands of lives.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

Makumi kadhaa waliuawa mnamo Agosti 16, wakati wafuasi wa Udugu wa ki-Islamu walipokuwa wakipambana na vikosi vya usalama katika "Siku ya hasira."

Anglais

Dozens more were killed on August 16, as Muslim Brotherhood supporters clashed with security forces in the "Day of Anger."

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

Makumi kadhaa ya vyombo vya habari kutoka ikiwa ni pamoja na Associated Press, Huffington Post na Vice News, pamoja na vyama vya waandishi wa habari kama vile Chama cha Waandishi wa habari za uchunguzi Uarabuni na Chama cha Waandishi Weledi , na makundi ya kutetea haki za kidunia na kitaifa kama vile Amnesty, Human Rights Watch, na IFEX yanaunga mkono kampeni hiyo.

Anglais

Dozens of leading media outlets from the Associated Press to Huffington Post to Vice News, along with professional journalist associations such as the Arab Reporters for Investigative Journalism and the Society of Professional Journalists, and global and national rights groups like Amnesty, Human Rights Watch, and IFEX are all lending their support to the campaign.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

Najua kwamba jambo hili linawezekana maana nilipata kushiriki katika tukio kama hili mnamo mwaka 2005 Makumi elfu ya watu binafsi - wakiwamo viongozi wa serikali, wafanyabiashara, wana-asasi zisizo za serikali na wataalamu - wote walikuja kujadili masulaa yanayozikabili jamii zinazoishi mijini hapa duniani.

Anglais

I know this can work from participating in such an event in 2005 Tens of thousands of individuals – including government and business leaders, NGOs and specialists — came together to discuss real issues and concerns facing the world’s urban communities.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

Siku ya Jumapili, Februari 17, makumi ya maelfu ya ya watu katika mji mkuu wa Sofia pamoja na majiji mengine nchini Bulgaria waliendelea kuandamana ili kupinga gharama kubwa za umeme pamoja na za joto pamoja na kupinga ukiritimba wa makampuni ya usambazaji wa nishati - ChCEZ, EVN,naEnergo-Pro.

Anglais

On Sunday, February 17, tens of thousands of people in Bulgaria's capital Sofia and other cities continued to protest against high electricity and heating bills, and against the monopoly of energy distribution companies - ChCEZ, EVN, and Energo-Pro.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

Mkutano huo ambao haujawahi kuripotiwa hapo awali umewekwa wazi na mwandishi wa habari John Dinges, ambaye amechapisha habari hiyo kwenye blogu yake CIPHER , kadhalika katika blogu ya Huffington Post, ambako huwa anaandika masuala yanayomhusu John McCain "ambaye amekuwa akishutumu vikali dhana ya kuketi na watawala wa kiimla bila ya masharti yoyote, inaonekana kuwa alifanya hivyo na "Pinochet, mmoja wa watawala wakiukaji wa haki za binaadamu ambaye anashutumiwa kuua zaidi ya raia 3,000 na kuwasweka gerezani makumi ya maelfu wengine"

Anglais

The previously unreported meeting was revealed by journalist John Dinges, who published the findings in his blog CIPER , as well as in the Huffington Post, where he writes about John McCain "who has harshly criticized the idea of sitting down with dictators without pre-conditions, appears to have done just that." with "Pinochet, one of the world's most notorious violators of human rights credited with killing more than 3,000 civilians and jailing tens of thousands of others."

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

Katika habari moja mpya, Laith anaripoti: Laith: Baghdad: Makumi ya familia kutoka eneo la AlKaradah walizuiliwa kupiga kura kwa sababu majina yao hayapo kwenye daftari ya wapiga kura.

Anglais

In one update, Laith reports: Laith: Baghdad: Tens of families from the AlKaradah region denied voting because their names are not on the voters register

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

Siku ya Jumapili, Februari 24, 2013 makumi ya maelfu ya watu wa Bulgsria waliandamana kupinga rushwa, gharama kubwa za matumizi ya nishati pamoja na umasikini. tens of thousands of Bulgarians protested against corruption, high utility bills and poverty.

Anglais

On Sunday, February 24, 2013 tens of thousands of Bulgarians protested against corruption, high utility bills and poverty.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
4,401,923,520 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK