Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
nyumba ya amani
peaceful house
Last Update: 2019-03-10
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mwaka 2006, alikamatwa kwa kushiriki mandamano ya amani.
in 2006, he was arrested for taking part in a peaceful protest.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nchi katika hali ya amani
a country in peace
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ngojera juu ya amani kanisani
wait for peace in the church
Last Update: 2020-12-27
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
maandamano ya amani yamegeuka kuwa vita.
peaceful protest has turned into a war.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
pendekezo la zawadi ya nobel ya amani
petition for nobel peace prize
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
pamoja na wema wake, namtakia mapumziko mema ya amani
with all his goodness, i wish him rest in peace
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
pamoja na hali ya machafuko, maandamano mengi yalikuwa ya amani.
despite the focus on violence, the majority of the demonstrations were peaceful.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
"watu wenye ujasiri hawaogopi kusamehe kwa ajili ya amani"
“courageous people do not fear forgiving for the sake of peace.”#nelsonmandelaquotes — ♠i_am_tobi☺™ (@asvpnast) december 5, 2013
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
alianzisha asasi isiyo ya kiserikali kwa ajili ya kutoa elimu ya amani.
he even founded an ngo for peace education.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kizito mihigo, hata hivyo, anafahamika kwa uanaharakati wake kwa masuala ya amani.
kizito mihigo, however, is known for his activism for peace.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
sifa ya tanzania kama nchi ya amani inaendelea kumomonyoka kwa kasi kufuatia matukio haya ya hivi karibuni.
tanzania's reputation as a peaceful country is indeed becoming increasingly questionable with these recent events.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nguruwe pia ni ishara ya amani miongoni mwa makabila ya watu wanaoishi maeneo ya kati ya uwanda wa juu.
pigs are also the symbol of peace among the tribes in the central highlands.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mpaka sasa maandamano ya upinzani yamekuwa ya amani, katika sehemu nyingjne yaliyojaa rangi na muziki.
so far the protest rallies have been peaceful, in some places colorful and musical.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa sasa, vijana wa kuwait wanadumisha hali ya amani kwa kuonesha kupendezwa na kusherehekea uhuru wa kutoa maoni yao.
today the youth are maintaining the atmosphere of liberation in spreading positivity and celebrating freedom of expression.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
vyombo vya habari vya kigeni vimeyapa maandamano hayo ya amani jina la utani “mapinduzi ya miamvuli”.
foreign media have dubbed the peaceful protest the "umbrella revolution".
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
mexico: mwaka mmoja tangu kuzaliwa kwa “kundi la harakati kwa ajili ya amani, haki na utu”
mexico: one year after birth of “movement for peace with justice and dignity” · global voices
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
katika blogu ya crónicas, santos garcía zapata anaeleza muktadha kuhusu uamuzi wa rais wa kuanzisha mazungumzo ya amani na makundi ya waasi.
in the blog crónicas, santos garcía zapata explains the context around the presidential decision to start peace talks with guerrilla groups.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
jambo jingine ni kuwa, nilikuwa na mtizamo hasi kuwa mahusiano ya amani kati ya watu wa rangi tofauti ni sehemu ya maisha yetu kiasi kwamba hatuhitaji kulifuatilia kabisa.
for another, i had had the wrong assumption that harmonious race relations are so much a part of us that we don't need to work at it.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
@ishayma: #romney anataka kweli kuzungumzia "rekodi ya marekani" katika historia ya amani????
@ishayma: #romney really wants to talk about "america's record" in peaceful history?????
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting