Results for manispaa translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

baraza la manispaa

English

chief executive secretary

Last Update: 2019-08-30
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mganga mkuu wa manispaa

English

the chief physician of the municipality

Last Update: 2021-08-27
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mkurugenzi mtendaji wa manispaa

English

regional coordinator

Last Update: 2022-04-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mkurugenzi wa halmashauri ya manispaa

English

the director of the municipal council

Last Update: 2020-01-02
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

katika manispaa yenu tukufu in english

English

in your noble municipality in englishez

Last Update: 2020-03-10
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mahali pale, walikusanyika tena mbele ya uwanja wa manispaa.

English

there, people were gathering again in front of municipal theater.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

msumbiji itafanya uchaguzi wa manispaa tarehe 20 novemba mwaka huu.

English

mozambique will hold municipal elections on november 20.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

uharibifu ulikuwa wa kusikitisha kidogo wakati tunaingia manispaa ya ivisan.

English

the damages were a bit distrubing when we entered the municipality of ivisan.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

jumla ya maeneo 415 katika manispaa/miji 68 zilirekodi visa vya mafuriko.

English

about 415 areas in 68 municipalities/cities recorded flood cases.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

huenda ukawa mbaya zaidi wakati wa uchaguzi ujao wa ubunge na wa manispaa barani ulaya.

English

it might also take a turn for the worse during the next european parliamentary and municipal elections.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

tume ya afya ya manispaa ya wuhan baadaye iliyoa notisi ya umma tarehe 31 desemba na kujulisha who.

English

the wuhan municipal health commission later released a public notice on 31 december and informed the who.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa aina hii ya uharibifu, kilicho tushangaza ni kuonekana kwa kukosekana kwa operesheni ya msaada katika manispaa hizo.

English

with this kind of destruction, what kept us surprised was the seemingly absence of relief operation in those municipalities.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

maandamano mengine yanaanza kuelekea makao makuu ya usalama wa taifa pamoja na jengo la baraza la mji (manispaa)

English

some protests are beginning to move towards the national security headquarters and the municipality building

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kulikuwa na vifo 46 na zaidi ya nusu ya manispaa ziliathirika (manispaa 55 ziliathirika kati ya 77 zilizoko nchini benin).

English

there were 46 deaths and more than half of the municipalities were affected (55 municipalities affected of the 77 in the benin).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kufuatia siku tatu mfululizo za maandamano, inaonekana serikali ya manispaa ya heshan jijini jiangmen imetupilia mbali mkakati wake wa ujenzi wa mradi mkubwa wa mtambo wa nguvu ya nuklia.

English

following three days of continuous protests, it seems the heshan municipal government in jiangmen city has abandoned its plans to construct a massive nuclear fuel complex.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hata hivyo, watu hawakuweza kukubali maneno yao matupu na badala yake, walitembea kuelekea kwenye jengo la serikali ya manispaa ambapo katibu wa kamati ya manispaa aliwaonesha hati ya kusitishwa kwa mradi huo.

English

still people could not accept their verbal promise and they marched to the municipal government building, where the secretary of municipal party committee showed them a written notice of the project's cancellation.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mwanaharakati wa kimasedonia nikola pisarev alichapisha picha ya mzee huyo akiwa amebeba bango linalosomeka, "inawezekanaje uamuzi wa manispaa ukawa imara kuliko uamuzi wa mahakama kuu?

English

macedonian activist nikola pisarev posted a photo of a man holding handwritten signs reading, "how can municipal decision be stronger than the supreme court decision?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

santiago alieleza kuwa uamuzi wake ulizingatia uhusika wa oronoz rodríguez katika kashfa za siku za nyuma, ambapo inadaiwa akiwa mkurugenzi wa idara ya sheria ya manispaa ya san juan alitetea uamuzi wa meya wa kuruhusu kukaguliwa kwa kila mtu ambaye angehudhuria sherehe za mtaa wa san sebastian.

English

santiago explained that her decision was based on oronoz rodríguez' involvement in a controversial case, when as the director of san juan's municipal legal division she defended the mayor's decision to impose searches on every individual who would attend this year's san sebastian street festival.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa majina naitwa edimundi arbogast mtaki ni mtoto wa kwanza kuzaliwa kati ya watoto wanne wa familia ya marehemu francis. nimezaliwa mwaka 1990 katika manispaa ya shinyanga. elimu yangu ya shule ya msingi nimesomea manispaa ya shinyanga katika shule ya msingi uhuru kuanzia mwaka 1996 na kuhitimu darasa la saba mwaka 2002. mwaka 2003 nilianza kidato cha kwanza katika shule ya sekondari buluba iliyopo manispaa ya shinyanga na kuhitimu kidato cha nne mwaka 2006 na kupata daraja la iii:22. mwaka 20

English

my name is edimundi arbogast mtaki is the first child born out of four children of the family of the late francis. i was born in 1990 in shinyanga municipality. my primary school education i studied at shinyanga municipality at uhuru primary school from 1996 and graduated from class seven in 2002. in 2003 i started my first form at buluba secondary school in shinyanga municipality and graduated from form four in 2006 and got grade iii: 22. year 20

Last Update: 2020-11-16
Usage Frequency: 3
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,797,055,779 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK