From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
walipo jifakharisha katika waliyo kanywa tuliwaambia: kuweni manyani wa kudharauliwa.
and then, when they disdainfully persisted in doing what they had been forbidden to do, we said to them, "be as apes, despised!"
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
ni yule ambaye mwenyezi mungu amemlaani na amemkasirikia, na amewafanya miongoni mwao manyani na nguruwe, na wakamuabudu shet'ani.
(worse is the case of him) whom allah hath cursed, him on whom his wrath hath fallen and of whose sort allah hath turned some to apes and swine, and who serveth idols.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
watu wanafikiri kuwa zuma anatufanya tuonekane kama manyani; naam julius atafanya vibaya zaidi ya mheshimiwa jz… akiwa usingizini!!!
people think that zuma makes us look like monkeys; well julius will do way worse than the honourable jz. . .in his sleep!!!
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
na hakika mlikwisha yajua ya wale miongoni mwenu walio ivunja sabato, (siku ya mapumziko, jumaa mosi) na tukawaambia: kuweni manyani wadhalilifu.
and assuredly ye know of those of you who trespassed in the matter of the sabbath, wherefore we said unto them: be ye apes despised.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
nikwambieni yule ambaye ni mwenye malipo mabaya zaidi kuliko hayo mbele ya mwenyezi mungu? ni yule ambaye mwenyezi mungu amemlaani na amemkasirikia, na amewafanya miongoni mwao manyani na nguruwe, na wakamuabudu shet'ani.
say (o muhammad saw to the people of the scripture): "shall i inform you of something worse than that, regarding the recompense from allah: those (jews) who incurred the curse of allah and his wrath, those of whom (some) he transformed into monkeys and swines, those who worshipped taghut (false deities); such are worse in rank (on the day of resurrection in the hell-fire), and far more astray from the right path (in the life of this world)."
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting