Results for mapambo translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

na mapambo.

English

and adornments of gold.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wala wasipige chini miguu yao ili yajuulikane mapambo waliyo yaficha.

English

and let them not stamp their feet so as to reveal what they hide of their adornment.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hakika wewe umempa firauni na wakuu wake mapambo na mali katika maisha ya dunia.

English

'you have given pharaoh and his council adornments and possessions in this life.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watapambwa humo kwa mapambo ya mikononi ya dhahabu na lulu. na mavazi yao humo ni hariri.

English

there they will be decked with gold bracelets, pearls, and garments of silk,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na kutokana na wanavyo yayusha katika moto kwa kutaka mapambo au vyombo hutokea povu vile vile.

English

and from what they heat in fire of ornaments or utensils comes a similar froth.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na kaumu ngapi tuliziangamiza zilizo kuwa na mapambo mazuri zaidi na wazuri zaidi kwa kuwatazama!

English

and how many a generation (past nations) have we destroyed before them, who were better in wealth, goods and outward appearance?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na wanawake wazee wasio taraji kuolewa, si vibaya kwao kupunguza nguo zao, bila ya kujishaua kwa mapambo.

English

and as for women past child-bearing who do not expect wed-lock, it is no sin on them if they discard their (outer) clothing in such a way as not to show their adornment.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wala usivikodolee macho tulivyo wastareheshea baadhi ya watu miongoni mwao, kwa ajili ya mapambo ya duniani, ili tuwajaribu.

English

and do not extend your eyes toward that by which we have given enjoyment to [some] categories of them, [its being but] the splendor of worldly life by which we test them.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na baada yake walimfanya ndama kutokana na mapambo yao (kumuabudu), kiwiliwili tu kilicho kuwa na sauti.

English

and ehe people of musa, after him, took of their trinkets a calf: a body with a low.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,891,387,233 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK