Results for matambiko translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

matambiko

English

matambiko

Last Update: 2023-11-11
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mchoro mdogo ukionesha aina mbili za matambiko ya jamii mbili tofauti.

English

a mini mural showing two major rituals of two different groups.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

candomblé ni mojawapo ya athari hizo, dini iliyojawa na siri nyingi, ishara za matambiko yanayofahamika tu kwa wanaopitipia matambiko hayo lakini pia ni ni sehemu muhimu ya utamaduni wa brazili.

English

candomblé is one such impact, a religion filled with many secrets, symbols and rituals known only to initiates but it is also a vital part of cultural expression in brazil.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

aliandika kuhusu jinsi walivyosherehekea sikukuu ya noeli kama familia pamoja na mtoto wao, hapo anaeleza jinsi mara nyingine inavyomwia vigumu kujaribu kuelewa maoni ya mkewe kama mtu asiyeamini katika mungu huku akishikilia matambiko fulani ya kiutamaduni ya kichina.

English

writing about the way they celebrated christmas as family with their son, he finds himself in a fix trying to make sense of his wife's atheist views and belief in traditional chinese rituals.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mara nyingine huwa ninamshuhudia bibie b akifanya matambiko ya ajabu nyumbani yakiwa na lengo la kuondoa bahati mbaya, na hata ameshawahi kutugharimu kiasi kikubwa cha fedha ili kuijenga upya milango ya mbele na nyuma ya nyumba yetu ili kuweza kunasa bahati nzuri katika nyumba yetu kupitia miungu wazuri wa feng shui.

English

i sometimes notice ms b performing strange rituals at home to ward off bad luck, and she has even cost us a lot of money in re-positioning our front and back doors, in order to capture good luck in our home through good feng shui.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,774,268,625 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK