Results for mategemeo translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

mategemeo

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

mategemeo katika uvunaji wa gesi nchini tanzania yanaongezeka kwa kasi kubwa.

English

but expectations surrounding gas exploration in tanzania are soaringly high.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

haya ndiyo mategemeo ya wote wanaoshutumu hatua hiyo inayolinganishwa na ile ya u-nazi.

English

this is especially ironic will all the accusations of nazism flying around.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ni mategemeo yetu kuwa watu wataona filamu hizi na na kupata hamasa ya kuwasaidia kubadili maisha yao.

English

we hope that people will see these films and be inspired to bring change to their lives.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

shimul bashar, mwandisshi wa habari wa kituo cha televisheni cha kujitegemea ana mategemeo kakubwa kufuatia #maaandamano ya shahbag

English

shimul bashar, a reporter of a private tv channel has hopes for the #shahbag protests:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa mfano, mategemeo ya benki ya maendeleo ya afrika ni kuwa uchimbaji huu wa gesi utaongeza kiasi kikubwa cha upatikanaji wa ajira.

English

afdb's forecast, for instance, makes reference to the potential jobs this activity will create.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wasanii wa uchoraji kuta wana mategemeo ya kuwafikia vijana wadogo wa san pedro sula,wengi wao wakifanya juhudi za kulikimbia jiji kuliko kuendelea kuishi kwenye jiji lenye ghasia.

English

the graffiti artists hope to connect with the young people of san pedro sula, many of whom choose to flee rather than stay in the turbulent city.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

unapaswa kujiunga na mtandao huu bila ya kuwa na mategemeo fulani, bila ya kukisia kile utakacho kikuta, kama jinsi ukutanavyo na marafiki, pale mada moja inavyopelekea kutokea kwa mada nyingine.

English

you have to enter without preconceptions, without imagining what you will find, as when meeting friends, where one topic leads to another.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

'baba, tunaelekea wapi?’ kimekuwa kipindi kilichojizolea umaarufu sana, siyo tu kwa kuwa kimekuwa cha kuvutia na chenye kuleta mtazamo mpya, jambo la muhimu kabisa ni kuwa kinatupa taswira ya kiu na mategemeo ya kuenedelea kupendwa na kujaliwa zaidi na baba zetu.

English

'where are we going, dad?’ becomes a hit show not only because it’s based on a new and interesting idea, but more importantly because it echoes our society’s thirst and expectations of more care and love from dads.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,749,940,553 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK