Ask Google

Results for matumaini yangu kufaulu vizuri translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

Ni matumaini yangu kwamba anaweza kuachiliwa bila kuchelewa na kwamba ataweza kuunganishwa na familia yake.

English

It is my sincere hope that he can be released without delay and that he can be reunited with his family.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Sitaki kupendelea chama chochote katika uchaguzi lakini ni matumaini yangu tu kwamba uchaguzi utaendeshwa kwa amani.

English

I do not take a position for any party in the elections but I do hope that they are carried out peacefully.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Ni matumaini yangu pia kwamba rafiki zangu nchini Tanzania, Watanzania na Wamarekani vilevile, wote watakuwa salama.

English

I especially hope that my friends in country, Watanzania and Wamerikani alike, are safe.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Ni matumaini yangu kwamba mawazo kama haya yanaweza kuchukuliwa kwa uzito unaostahili kupunguza kiwango cha ukosefu wa ajira nchini.

English

It is my hope that such ideas can be ytaken seriously to reduce the leve of unemployment in the land.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Ni matumaini yangu kwamba hivi karibuni mama yangu ataweza kuwashirikisha hisia zake na kuzungumza moja kwa moja yeye mwenyewe badala ya kuzungumza kupitia kwangu.

English

It is my hope that soon my mother will be able to share this feeling and to speak directly for herself instead of through me.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Ni matumaini yangu kuwa wanasiasa wote wa Kambodia watayafuata maelezo haya.Baba Mfalme alikiri kuwa yeye si mkamilifu, lakini alikuwa na maono thabiti ya kuifanya nchi yake kuwa huru.

English

I hope all Cambodian politician would follow this statement. The King Father accepted that he is not perfect but he has a clear vision to put his country independent.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@gabyreimberg: Matumaini yangu ni kuwa maandamano haya hayataishia hapa, ni muda muafaka wa ulimwengu kuifahamu vyema nchi hii! #peppervsvinegar

English

@gabyreimberg:Hopefully these protests won't stop here… it's time to show (the world) who this country (really) is! #peppervsvinegar

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

Ni matumaini yangu kuwa jumuia ya Global Voices itachangia katika kutoa taarifa ambazo zitatuwezesha kuyaonesha makampuni pamoja na ulimwengu kuhusiana na madhara halisi yatokanayo na vitendo vya makampuni binafsi kudhibiti uhuru wa kujieleza wa mtandaoni"

English

I hope the Global Voices community will contribute to the data, which will enable us to show companies and the world the real impact of private organisations on regulating online speech."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Ni matumaini yangu kuwa, siku moja serikali itatujulisha ni nani anayewafadhili kifedha na kuratibu mikakati ya Boko Haram. — Henry Bature Okelue (@4eyedmonk) April 14, 2014

English

I hope one day, the government will one day announce to us the unmasking of the financier and mastermind behind Boko Haram. — Henry Bature Okelue (@4eyedmonk) April 14, 2014

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@zittokabwe: Natuma salamu zangu za rambirambi kwa wananchi wa #Ethiopiakufuatia kifo cha Waziri Mkuu #MelesZenawi.Ni matumaini yangu kwamba kutakuwa na muendelezo wa kidemokrasi huko Abbysinia.

English

@zittokabwe: My condolences to the people of #Ethiopia following the death of Prime Minister #MelesZenawi Hope for a democratic developmental Abbysinia

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK