Results for mbeki translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

mbeki

English

mbeki

Last Update: 2015-06-01
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

kwa nini mbeki alisisitiza kuwa selebi asitiwe nguvuni?

English

why was mbeki so adamant that selebi should not be arrested?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

hukumu ya selebi ni msumari mwingine katika jeneza la uadilifu wa thabo mbeki

English

the selebi conviction is another nail in the coffin of thabo mbeki's credibility

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

mbeki aliwasilisha nyaraka hizo siku moja tu baada ya kulitangazia taifa kwamba amejiuzulu.

English

mbeki filed the papers yesterday - a day after announcing to the nation that he has resigned.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

baadhi ya wanablogu wanasema kwamba wote wawili, mbeki na tshabalala-msimang wametapakaa damu mikononi mwao.

English

some bloggers say that both mbeki and tshabalala-msimang have blood on their hands.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

ingechukua miaka mingine 2 na mashinikizo mengi ya kisiasa kumfanya mbeki kujiandaa kumshtaki rasmi afisa wake wa polisi wa ngazi ya juu.

English

it would ultimately take a further 2 years and a lot of political fallout before mbeki was prepared to formally charge his top cop.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

bila shaka ataapishwa mara moja baada ya kujiuzulu kwa rais thabo mbeki na kuanza majukumu yake rasmi tarehe 25 septemba.”

English

he will probably be sworn in immediately after the resignation of president mbeki takes effect on the 25th of september.”

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

mama wa rais thabo mbeki anayeondoka madarakani, epainette, anaunga mkono mipango ya kukigawa chama cha anc na kuanzisha chama kipya cha siasa.

English

outgoing president thabo mbeki’s mother, epainette, is backing moves to split the african national congress (anc) and form a new breakaway political party.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

hatua hiyo inafuatia tamko la jaji nicholson hivi karibuni katika mahakama kuu ya pietermaritzburg kwamba huenda mbeki na waziri wa sheria waliingilia kati katika uamuzi wa kumfikisha mahakamani jacob zuma.

English

the move follows nicholson’s statement in the recent pietermaritzburg high court ruling, that mbeki and the former justice minister may have interfered in the decision to prosecute jacob zuma.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

anc ilikuwa imetangaza kwamba makamu wa rais wa chama hicho kgalema motlanthe alikuwa ameteuliwa na chama kushika nafasi ya rais katika kipindi cha mpito mara baada ya kuondoka rais thabo mbeki mnamo siku ya alhamis.

English

the anc has confirmed that its deputy president kgalema motlanthe has been chosen as the party’s preferred candidate to serve as the country’s interim president after thabo mbeki leaves office on thursday.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

mmoja wao akiwa ni waziri wa afya, dkt manto tshabalala-msimang, aliyekuwa mwananadharia mkubwa katika hoja ya mbeki ya sera za kukana uwepo wa ukimwi.

English

chief among these is health minister dr manto tshabalala-msimang, the chief theoretician behind mbeki’s aids denialist policies.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

barua zao za kujiuzulu zilipokelewa na rais thabo mbeki "ambapo kwa masikitiko makubwa, ilimpasa kuzipokea", ilisema taarifa kutoka ofisi ya rais jumanne iliyopita.

English

their letters of resignation had been received by president thabo mbeki "which, regretfully, he has had to accept", the presidency said in a statement on tuesday.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kwa nini mbeki alituomba tuwe na imani naye kwa suala la selebi na kwa kwa nini alishikilia msimamo – pamoja kuwepo kwa ushahidi mzito na wa wazi aliopewa – kwamba hapakuwa na ushahidi wa kuonesha kwamba selebi alikuwa mhalifu?

English

why did mbeki ask us to trust him on selebi and why did he maintain – in the face of overwhelming evidence provided to him – that there was no evidence to suggest that selebi was a crook?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

@khadijapatel: rt @khayadlanga: kwa kuwa ni siku ya afrika, hapa kuna hotuba kuu ya thabo mbeki “mimi ni mwafrika”.

English

@khadijapatel: rt @khayadlanga: since it's africa day, here thabo mbeki's great "i am an african" speech.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,869,321,759 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK