Results for mbinu za lugha translation from Swahili to English

Swahili

Translate

mbinu za lugha

Translate

English

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

mbinu za lugha

English

language techniques

Last Update: 2025-03-09
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kaida za lugha

English

language norms

Last Update: 2021-06-17
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mbinu za kukomesha utovu wa nidhamu

English

methods to end misconduct

Last Update: 2020-10-25
Usage Frequency: 2
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mbinu za kugundua dawa bandia katika nchi zinazoendelea

English

tracking counterfeit medicines in the developing world · global voices

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

isitoshe, upeo katika visa vipya umekadiriwa kupitia mbinu za kiusambazaji.

English

furthermore, peaks in new cases have been estimated by distributional methods.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

serikali zimefuzu nyenzo na mbinu za kuchuja habari kwenye vyombo vya habari vya kitamaduni.

English

governments have mastered the tools and techniques of censorship in the traditional media.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

chagua mbinu za mafunzo inayostahili kulingana na hali ya shule kufungwa na karantini za kukaa nyumbani.

English

choose the appropriate learning methodologies based on the status of school closures and home-based quarantines.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

a r rahman aliwashangaza na kuwachangamsha wote kwa kipaji chake cha muziki wakati akiongea pia sentensi za lugha ya kitamil.

English

one in particular, a r rahman, dazzled and charmed everyone with his musical genius while also speaking sentences in tamil.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mfaranza henri michel, ambaye anatumia mbinu za kuheshimika, amefurahia ushindi mkubwa katika kilele cha mchezo huu.

English

frenchman henri michel, a reputed tactician has enjoyed great success at the game’s pinnacle.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

baadhi ya wafuatiliaji wa masuala ya kisiasa wanaamini kuwa kuahirishwa kwa uchaguzi ni mbinu za kisiasa zilizo na lengo la kukipendelea chama tawala.

English

some political observers believe that the postponement is a political strategy meant to favour the ruling party.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

bila shaka ni sehemu ya mbinu za mchezo wa chesi katika siasa, ambapo mcheza kete anatupia jicho lake katika namna ya kupata ushindi.

English

it is a political chess game where the master has his eye set on victory.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hatuwezi kuendelea kuongelea teknolojia ya mawasiliano ya kidijitali kuweza kumfikia kila mmoja, kama ofisi zinazohifadhi habari muhimu bado zinatumia mbinu za uhifadhi za mikono.

English

we cannot be talking of making ict accessible to everyone, if our important offices that hold crucial information are still using manual storage system.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mwanablogu wa maldivihani amir anaandika kuhusu mbinu za uvuvi asilia ikiwa ni pamoja na kukamata mamia ya samaki kwa mikono yao, badala ya kutumia nyavu au fimbo.

English

maldivian blogger hani amir writes about the traditional fishing methods of the reef fishermen of maldives which include catching tons of fish with their hands, instead of nets or rods.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

waoga wanatumia mbinu za vitisho ili kushawishi maoni ya wengi yawe ni ya kuzuia mabadiliko na mchakato huu kwa kusambaza taarifa ambazo si sahihi kuhusu uundwaji wa katiba na kikao cha bunge la katiba kilivyopangwa.

English

fearmongers use scare tactics to influence public opinion to impede change and progress by disseminating false information about the draft constitution and the planned constituent assembly meeting.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

baadhi za lugha zinakosa herufi za kompyuta zinazowasaidia watumiaji kuandika kwa lugha zao, na sehemu nyingine za dunia bado hazina mtandao wa intaneti, hali inayowafanya watengwe na mazungumzo ya mtandaoni.

English

some languages lack a keyboard that allows users to write in their language, and many parts of the world still lack adequate connectivity, excluding them from the online conversation.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ilikuwa ni vigumu kupata habari katika mtandao (isipokuwa kwenye blogu za lugha ya ki-bangla) na kila mtu alikuwa akijaribu kupata habari zilizosasishwa.

English

information online was hard to come by (except some bangla blogs) and everybody was trying to get updates.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

tovuti ya serikali ya marekani the daily beast inayoeleza mbinu za utangazaji inayoaminiwa kutoka kwa tume ya kimataifa ya usalama, na mbinu ikisemekana kuwa "kila kitu ni kuhusu uchina.

English

the daily beast obtained a u.s. government cable outlining a communications stratagem with apparent origins in the national security council, with the strategy being quoted as "everything is about china.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

fda nchini marekani iliidhinisha jaribio la kwanza la utunzaji tarehe 21 machi 2020 kwa ajili ya matumizi mwishoni mwa mwezi huo. miongozo ya utambuzi iliyotolewa na hospitali ya zhongnan ya chuo kikuu cha wuham ilipendendekeza mbinu za kugundua maambukizo kulingana na sifa za kliniki na hatari ya magonjwa ya mlipuko.

English

the fda in the united states approved the first point-of-care test on 21 march 2020 for use at the end of that month.diagnostic guidelines released by zhongnan hospital of wuhan university suggested methods for detecting infections based upon clinical features and epidemiological risk.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mbinu za kupima zilikuwa pamoja na kujiripoti ukiwa na dalili na wageni wa kimataifa wanaofika kupitia programu ya simu, kupimwa kwa kupitia vituo kwa virusi na matokeo kupatikana siku ifuatayo, na kuongeza uwezo wa kupima kuwezesha hadi watu 20,000 kupimwa kila siku.

English

screening methods included mandatory self-reporting of symptoms by new international arrivals through mobile application, drive-thru testing for the virus with the results available the next day, and increasing testing capability to allow up to 20,000 people to be tested every day.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

katika wavuti yao, unaweza kuperuzi video za dakika moja moja zenye thamani ya mwaka mmoja kutoka katika nchi mbalimbali, nyingine zikiwa zimetumwa na watu binafsi, na nyingine zimetokana na warsha ambapo vijana wanafundishwa mbinu za kuandika, kupiga picha za video na kuhariri mawazo yao.

English

on their website, you can browse through years' worth of one minute videos from different countries, some sent in by individuals, others are results from workshops where youth are taught the skills to write, film and edit their ideas.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,951,171,474 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK