From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
lakini kuzilaumu nchi za magharibi na viwanda vya silaha barani ulaya kwa migogoro yote au mingi ya migogoro hiyo ya hivi karibuni ni kutokuwa wakweli na kwa hakika ni sawa na kuficha vichwa mchangani, kama afanyavyo mbuni.
but to blame all or most of the recent conflicts in africa on western countries and european gun factories is being disingenuous and burying heads in the sand, ostrich-like.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
lakini walifika mahali ambapo mikondo miwili ya bahari hukutana, na meli ikakwama. sehemu ya mbele ilikuwa imezama mchangani bila kutikisika. sehemu ya nyuma ya meli ilianza kuvunjika vipandevipande kwa mapigo ya nguvu ya mawimbi.
and falling into a place where two seas met, they ran the ship aground; and the forepart stuck fast, and remained unmoveable, but the hinder part was broken with the violence of the waves.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality: