From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
ninaishi new york
i live in new york city
Last Update: 2019-01-10
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
maandamano jijini new york.
protests in new york.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
wafalme watatu watembelea new york
the three kings visit new york · global voices
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
abdoulaye wade akiongea mjini new york mwaka 2002.
abdoulaye wade speaking in new york in 2002.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
bingu wa mutharika akiwa makumbusho ya jiji la new york.
bingu wa mutharika at the metropolitan museum in new york.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
wakazi wa new york nao wataendesha tamasha lao kubwa la kusherehekea.
new yorkers will also host its own celebration concert.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
orodha nusu ya vikwazo vya kuingia kutoka iata na the new york times
partial lists of entry restrictions from iata and the new york times
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mfano wa hivi karibuni na uliotangazwa kwa kiasi kikubwa ni ule wa akaunti ya jerry saltz, msanii anayetumia sanaa kukosoa kupitia jarida la new york.
one recent and widely reported example was the account of jerry saltz, an art critic from new york magazine.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
francisco alisafiri kutoka boston hadi new york ili kutimiza haki yake ya kupiga kura.
francisco traveled from boston to new york to exercise his right to vote.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
jimbo la new york lilianza majaribio ya kiua vijasumu cha azithromycin tarehe 24 machi 2020.
new york state began trials for the antibiotic azithromycin on 24 march 2020.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
gazeti la talcual lilisambaza picha ya waandamanaji kwneye viwanja vya times square jijini new york.
the newspaper talcual shared a photo of protestors in times square in new york city.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kama lingekuwa ni gazeti la new york times limetumia kazi yangu bila ruhusa, ningekuwa tajiri sasa hivi.
if it was the new york times that plagiarized my blog i would be rich right now.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
siku hiyo, usns comfort, meli ambayo ni hospitali iliyo na vitanda 1000, ilitia nanga new york.
on the same day, the usns comfort, a hospital ship with about 1000 beds, made anchor in new york.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
baadae alisafiri kwenda new york kuhudhuria mkutano mkuu wa umoja wa mataifa, lakini alishindwa kuonekana wakati aliopangiwa kuhutubia ulipofika.
he later traveled to new york to appear before the united nations general assembly, but he missed his allotted time slot to deliver his speech.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa kilichomkuta saltz, michoro ilisemekana kuwa na taswira ya ngono, kwa mujibu wa blogu ya new york times inayoitwa artsbeat.
in saltz's case, the images were provocative and deemed to be pornographic, according to the new york times' artsbeat blog.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ulimwengu wa wanablogu wa kikongo ulijaa shutuma kali dhidi ya mahojiano ya hivi karibuni ya rais wa kongo, joseph kabila kwenye gazeti la new york times.
the congolese blogosphere had harsh criticism for congolese president joseph kabila's recent interview in the new york times.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
"tulianza na akaunti ya mtu binafsi pamoja na skype", anasema el-zahawi akiwa mjini new york.
"we started with a personal account and a skype," says el-zahawi from new york.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
kumekuwa na ongezeko kubwa duniani katika matukio ya ubaguzi wa rangi unaowalenga watu wa asili ya asia mashariki, ikiwa ni pamoja na miji mikuu kama vile new york, london na san francisco.
there has been a worldwide spike in racist incidents targeting people of east asian origin, including in major cities such as new york, london and san francisco.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nchini marekani, miji ingi mikuu ilitangaza kufungwa kwa maktaba ya umma, ikiwa ni pamoja na los angeles, san francisco, seattle na jiji la new york huku maktaba 221 ikiathirika.
in the united states, numerous major cities announced public library closures, including los angeles, san francisco, seattle, and new york city, affecting 221 libraries.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
bila ya mashaka, jamii ya watu wa amerika ya puerto rico na walatini halisi walio na msisimko katika mji huo mkuu, ambao ni new york, hawajawahi kuacha kusherehekea siku hii kwa mshawasha mkubwa, na hususani kwa watoto.
without a doubt, the puerto rican and latin american communities that are alive and vibrant in the metropolis that is new york have not stopped celebrating this day with much excitement, especially the children.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: