Results for miamba translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

miamba mitatu

English

3d

Last Update: 2013-12-11
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa junta, u win tin kwa hakika ni mlima wenye miamba.

English

for the junta, u win tin is really a rocky mountain.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa sababu ya kuogopa kukwama kwenye miamba, waliteremsha nanga nne nyuma ya meli; wakaomba kuche upesi.

English

then fearing lest we should have fallen upon rocks, they cast four anchors out of the stern, and wished for the day.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

gazeti la nytimes limetengeneza ramani ya pande tatu yenye ufanisi mkubwa katika kuelewa ni wapi mji wa port au prince ulipo kiuhusiano na miamba ya haiti.

English

the nytimes has created a three-dimensional map that is extremely useful for understanding where port-au-prince lies in relation to haiti’s geology.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

alitahadharisha kwamba kwa sababu miamba iliyo chini ya india inaendelea kusukuma kuelekea bara asia, basi myanmar haina budi kuwa kwenye tahadhari siku zote na hasa kwa siku za usoni.

English

he also warned that because the indian plate keeps pushing into asia, myanmar should be on alert for earthquakes in the future.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

huu ni mji wa pwani na bandari jimboni patagonia wenye miamba, ndege wakubwa na utajiri wa viumbe na mfululizo wa safari za pwani unaokufikisha kwenye eneo linalofahamika vizuri zaidi la ria.

English

this is a coastal and port city in the patagonia with cliffs, a large amount of biodiversity with birds and mammals and a series of coastal tours that takes us to the very well known ria.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

katika kile ambacho baadhi ya wataalamu wa miamba wamekieleza kama matukio ya nadra, wilaya ya kaskazini ya karonga nchini malawi imeshuhudia jumla ya matetemeko ya ardhi 30 katika wiki tatu zilizopita ambayo yamesababisha vifo 5, zaidi ya watu 200 kujeruhiwa na zaidi ya watu 3,000 kupoteza makazi.

English

in what some geologists have described as rare occurrences, malawi's northern district of karonga has in the past three weeks experienced a total of 30 earthquakes resulting in at least 5 deaths, over 200 people injured and over 3,000 made homeless.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kama naweza kuiona bangladeshi kwenye ramani ya dunia, utaona mipaka ya sahani mbili, yaani, mistari ya inayokutanisha (au kutenganisha) magamba ya miamba-nchi inapita katikati ya bangladeshi… wanasayansi wengi wamekuwa wakionya kuhusu uwezekano wa kutokea kwa tetemeko la ardhi lenye athari kubwa, 8-9 kwa vipimo vya skeli ya rikta huko kaskazini-mashariki na kusini-mashariki mwa bangladeshi.

English

map of all the major and minor tectonic plates of the world if you can locate bangladesh in the world map, you will see two plate boundaries, i.e. two fault lines cross bangladesh....many scientists have been warning about the probability of a devastating 8-9 richter scale catastrophic earthquake in the northeastern and southeastern parts of bangladesh.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,788,042,103 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK