Results for michuano translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

umuhimu wa wakaribeani kushika nafasi ya kwanza na ya pili katika moja ya michuano mashuhuri ya michezo ya olimpiki ulianza kuwaingia.

English

the significance of the caribbean finishing in first and second place in one of the most prestigious events of the olympic games soon began to sink in.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

huku michuano ya soka ya kombe la mabara ikiendelea, maandamano mengine zaidi yamesharatibiwa katika maeneo mbalimbali ya majiji kwa kufanyika siku zinazokuja.

English

as the confederations cup continues, more protests are already scheduled in several cities for the upcoming days.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wahanga hawa walikuwa wamekwenda kutazama finali za kandanda za kombe la dunia zilizokuwa zinafanyika nchini afrika kusini ambapo kwa mara ya kwanza bara la afrika lilikuwa limeandaa michuano hiyo.

English

all these people had gone to watch the world cup final taking place in south africa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

usain bolt wa jamaika ameshinda dhahabu kwenye michuano ya mita 100 ya wanaume, richard thompson wa trinidad amenyakua fedha na marekani wameambulia ushindi wa tatu."

English

usain bolt from jamaica jus' won gold in the men 100 meters, richard thompson from trinidad took silver and the u.s. came third."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

malalamiko kutoka kwa watazamaji wa televisheni ulaya nzima yamekuwa makali sana kiasi cha kumfanya mdudu huyu wa plastiki kuwa moja ya ajenda kuu katika mikutano ya waandishi wa habari na rais wa fifa sepp blatter ambayo aliifanya wakati wa michuano huko afrika kusini.

English

complaints from tv viewers across europe have been vociferous enough for the future of the plastic pest to become the major item on the agenda at the series of press conferences fifa president sepp blatter has held during the tournament in south africa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hata hivyo, hakuna lililoweza kupunguza wimbi la furaha lililofunika uhindi magharibi wakati visiwa viwili vilivyoko kwenye ncha mbili tofauti za visiwa hivyo vilileta nyumbani dhahabu na fedha kutoka katika michuano ya juu ya olimpiki ya 2008.

English

still, nothing could stem the overwhelming tide of happiness that washed over the west indies when two islands at opposite ends of the archipelago brought home the gold and the silver in one of the most high-profile events of the 2008 olympic games.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nchi hizi mbili zina viwanja vinavyofaa kwa riadha, programu nzuri za riadha, wakufunzi wazuri… na katika habari nyingine wanariadha wa guyana wanaendelea kutolewa kwenye michuano ya olimpiki hata bila ya kutambulika.

English

these two countries have proper, world class athletics stadia, excellent athletics programmes, fantastic coaches...and in other news guyanese athletes continue to bomb out of the olympics without any notice whatsoever.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,884,425,249 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK