Results for mikausho mikali translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

mikausho mikali

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

mikausho

English

mikausho as he

Last Update: 2022-06-27
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mitandao ya kijamii imekuwa na mijadala mikali yenye hamasa kubwa.

English

social media networks are abuzz with excitement.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mswada huu umeleta mkanganyiko mkubwa kiasi cha kuibua mijadala mikali katika mitandao ya intaneti na uraiani.

English

the proposal has proven quite controversial and sparked active discussions both online and offline.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mabadiliko haya ya ghafla kuhusiana na kanuni zinazoongoza matumizi ya dawa, yameibua mijadala mikali katika mtandao.

English

these sudden changes regarding drug regulations have sparked heated discussions online.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ungeifanya sayansi kuwa suala linaloibua mijadala mikali katika vyombo vya habari, kwa kiwango kiwango kile kile kinacholingana na mijadala ya vita na misuguano ya kisiasa

English

you’d make it an issue that actually generates media debate, that sees equal time with the wars we fight

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ziara yake imechochea miitikio mikali kwenye mitandao ya kijamii, ambapo watumiaji wanahoji ikiwa uwepo wake huko unaweza kuwa na faida yoyote kwa taifa hilo.

English

his visit has sparked strong reactions on social networks, where users are questioning whether his presence might be of some benefit for the nation.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

wakati tunajitahidi kubaki huru, tunaunganisha blogu zenye miizamo mikali ya kisiasa, pamoja na zile ambazo huonekana kama zenye kushabikia au kupingana na utawala.

English

while we try to remain independent, we link to blogs with strong political points of view, including those that can be seen as *for* or *against* the regime.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

wakati tabia za rais jacob zuma zimekuwa zikizua mijadala mikali na yenye uhai katika ulimwengu wa blogu wa afrika kusini, hivi sasa ni mwanasiasa mwenye utata ambaye pia ni rais wa umoja wa vijana wa anc, julius malema ambaye anatengeneza vichwa vya habari.

English

while the antics of president zuma have always generated intense and lively debate in the south african blogosphere, this time it is the controversial politician and the president of the african national congress youth league, julius malema, who's making headlines.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ni kweli, kuwa mapinduzi mengi yalipangwa kwenye vyumba vya faragha ambapo wanadiplomasia wa nchi za magharibi walikutana na maafisa wa kijeshi huku wakigida mvinyo na pombe ghali, wakiwafanya si tu wawe na tamaa ya kudhibiti raslimali za taifa kama watang’oa viongozi wenye misimamo mikali dhidi ya nchi za magharibi lakini pia kuwafadhili mtaji.

English

of course, most of these were brewed in smoky backrooms where western diplomats met military officers while sipping on expensive wines and spirits, enticing them with not only the control of national resources if they kicked out an anti-western radical leader but also the support of their capital.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,770,872,485 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK