Results for mimi bado wanaona ukandamizaji wa... translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

mimi bado wanaona ukandamizaji wa maneno

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

uundaji wa maneno

English

word formation

Last Update: 2014-11-11
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Hamad_mbunge

Swahili

kwa mujibu wa maneno yake mwenyewe:

English

in her own words:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Hamad_mbunge

Swahili

mimi bado sija sinzia

English

i am not afraid to fall in love

Last Update: 2017-05-10
Usage Frequency: 5
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

usiende mbali nami mimi bado nakupenda

English

i love you love me don't come to love me

Last Update: 2023-09-30
Usage Frequency: 10
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kama kungelikuwa na wakati muwafaka kwa obama kuwasha uwezo wa maneno yake matamu ni sasa.

English

if ever there was a time for obama to turn on his rhetorical charm, it is now.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa kusema hivi, tulikuwa na maana ya ukandamizaji wa kisiasa na wa kijamii uliofanywa na serikali.

English

by saying this we referred to political and social repression by the regime.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

tangu maandamano ya lhasa mwezi machi 2008, wasanii wa kitibeti wamekuwa walengwa wa ukandamizaji wa kisiasa.

English

since the unrest of march 2008 in lhasa, tibetan artists have been one of the targets of political suppression.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

tumia uwezo wako wa maneno matamu kuwaambia wairani kuwa, japokuwa hatutatuma majeshi, nyoyo zetu zi pamoja nanyi.

English

use your powers of rhetoric to tell iranians that, while we won't be sending in the marines, our hearts are with you.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kuna uvumi ulioenezwa jana nchini msumbiji kwa njia ya mdomo, ujumbe mfupi wa maneno wa simu na hata kupitia twita kuhusu mgomo.

English

yesterday rumors spread in mozambique about a general strike via word of mouth, sms, and even twitter.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mungu wangu, lakini kumbukumbu za upendo si sawa na mashaka ya kuwa chini ya ukandamizaji (wa waisraeli).

English

oh dear, but the worry of love is not like the worry of occupation.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

voltaire - "candide" (mimi bado hukirudia kitabu hiki!)

English

voltaire - "candide" (i keep going back to this!)

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

hivi karibuni jukwaa linaloundwa na asasi kadhaa, uchaguzi tanzania, liliwasiliana nasi na inaonyesha kwamba inawezekana kuripoti kwa njia ya ujumbe mfupi wa maneno wa simu ya mkononi.

English

recently we were contacted by a few organizations who have put together a similar platform, uchaguzi tanzania, which allows for reports to be sent in via sms.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

@omarc: ala! twita kupitia ujumbe mfupi wa maneno hazifanyi kazi ... nipo uwanja wa ndege wa doha, kuelekea bahrain.

English

@omarc: hmm, sms tweets not workin... at doha airport, en route to bahrain.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

badala ya serikali kusikiliza matakwa yao na kuzingatia suala la kutokuwa na hali nzuri ya ulinzi pamoja na madhara ya uharibifu wa mazingira unaotokana na mitambo hii ya nyuklia. serikali imewajibu waandamanaji kwa kutumia njia ya ukandamizaji wa kikatili kabisa.

English

the government instead of responding to their just demands and concerns for the immense security risk and the environmental hazard that this plant can cause on the surrounding area, has responded with the most cruel repression on the protesting masses.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

nik ahnag, bloga mashuri na mchoraji wa vikaragosi, alichora picha za vichekesho zinazohusu uvamizi wa gaza na mizani ya nguvu zisizolingana kati ya israeli na palestina kwenye upande mmoja na ukandamizaji wa serikali ya irani kwenye upande mwingine.

English

nik ahnag, a leading cartoonist and blogger, has published a couple of cartoons about the gaza invasion and the inequal power balance between israel and palestinians on one side, and iranian government repression on the other side.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kama sehemu ya mfululizo wetu juu ya teknolojia na ugunduzi unaofanyika afrika, hivi karibuni tulionyesha mashine ya kuchapishia picha zenye umbo halisi yaani 3d iliyotengenezwa kutokana na taka pepe nchini togo na mashine ya kukagua usahihi wa maneno katika lugha ya spell ki-bambara .

English

as part of our series on innovation made in africa, we recently showcased the 3d printer made from e-waste in togo and a spell checker for bambara language.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

verse 1 deka unavyo deka kama mtoto nitakubembeleza mimi wako oh nita zidi kupa vitu moto moto mapenzi kupendana sii mchezo nakusihi usijeniacha mimi solemba najisihi na mimi nisije kuacha wewe solemba tunavyo ishi wanandhani tunadanganyana sii rahisi amini mimi na wewe tukatengana chorus 2x usiende mbali nami kwani bado nakupenda usiondoke mbali nami mimi bado nakupenda verse 2 tangu niko na wewe ni furaha kukosa hata saa nikaraha bila wewe siwezi ishi kwako mimi sio mbishi wanapiga misele kila mara wanatimua mavumbi sisi twala wanataka mapinduzi na mapinduzi hawayawezi ooh ooh

English

do not go far from me

Last Update: 2023-08-21
Usage Frequency: 6
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,788,216,024 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK