Results for mimi mwenyewe nipo kitandani hapa translation from Swahili to English

Swahili

Translate

mimi mwenyewe nipo kitandani hapa

Translate

English

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

mimi mwenyewe

English

wet

Last Update: 2023-03-14
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mwenzangu mmoja alisukumwa, mimi mwenyewe nilivutwa kwa nguvu mkononi huku nikidhalilishwa.

English

one of my colleagues was pushed, i was dragged by my hand and we were insulted.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mimi mwenyewe najihisi kuwa na deni kubwa kwake hasa baada ya kuwa nimepata marafiki wengi wanasanaa hapa katika kundi hili.

English

i myself feel indebted to him for finding many artist friends here and in this group.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

na kwa ajili yao mimi mwenyewe najiweka wakfu ili nao pia wafanywe wakfu katika ukweli.

English

and for their sakes i sanctify myself, that they also might be sanctified through the truth.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mimi mwenyewe sikumfahamu, lakini nimekuja kubatiza kwa maji ili watu wa israeli wapate kumjua."

English

and i knew him not: but that he should be made manifest to israel, therefore am i come baptizing with water.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kwa kweli mimi mwenyewe niliamini kwamba ni wajibu wangu kufanya mambo mengi kulipinga jina la yesu wa nazareti.

English

i verily thought with myself, that i ought to do many things contrary to the name of jesus of nazareth.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

natambua kwa kutumia neno 'dunia', mimi mwenyewe ninabagua sehemu kubwa sana ya dunia.

English

and i know that by "world", i am myself excluding most of the world.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

naupa mwili wangu mazoezi magumu na kuutia katika nidhamu kamili, nisije mimi mwenyewe nikakataliwa baada ya kuwahubiria wengine.

English

but i keep under my body, and bring it into subjection: lest that by any means, when i have preached to others, i myself should be a castaway.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

na mimi mwenyewe nikatoa maoni: wapalestinia wengi waliuliza iweje makala hayo yatangazwe sasa, na wengine wakaoanisha habari hizo kuwa hila.

English

and i commented: everyone is now wondering what new information was given in the al jazeera documentary, when the whole nation knew he was poisoned. what's new is that evidence is provided, when at first there were just rumours. many palestinians questioned why the documentary was being broadcast now, and resorted to conspiracy theories as an explanation.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

"wale wanaoshinda nitawaketisha pamoja nami juu ya kiti changu cha enzi, kama vile mimi mwenyewe nilivyoshinda nikaketi pamoja na baba yangu juu ya kiti chake cha enzi.

English

to him that overcometh will i grant to sit with me in my throne, even as i also overcame, and am set down with my father in his throne.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

angalieni mikono na miguu yangu, ya kwamba ni mimi mwenyewe. nipapaseni mkanione, maana mzimu hauna mwili na mifupa kama mnionavyo."

English

behold my hands and my feet, that it is i myself: handle me, and see; for a spirit hath not flesh and bones, as ye see me have.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

wazee! mimi niliye mzee ninalo ombi moja kwenu wazee wenzangu. mimi mwenyewe nilishuhudia kwa macho yangu mateso ya kristo na natumaini kuushiriki ule utukufu utakaofunuliwa. mimi nawaombeni

English

the elders which are among you i exhort, who am also an elder, and a witness of the sufferings of christ, and also a partaker of the glory that shall be revealed:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

basi agripa akamwambia festo, "ningependa kumsikia mtu huyu mimi mwenyewe." festo akamwambia, "utamsikia kesho."

English

then agrippa said unto festus, i would also hear the man myself. to morrow, said he, thou shalt hear him.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

basi, yesu akawaambia, "mtakapokwisha mwinua mwana wa mtu hapo ndipo mtakapojua kwamba mimi ndimi, na kwamba sifanyi chochote mimi mwenyewe, ila nasema tu yale baba aliyonifundisha.

English

then said jesus unto them, when ye have lifted up the son of man, then shall ye know that i am he, and that i do nothing of myself; but as my father hath taught me, i speak these things.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

nyingi ya twita za hivi punde zilizotumwa katika siku mbili zilizopita nazo zilihusu kukamatwa kwa mubarak na kutiwa kizuizini. @engmtm: natamani ningeweza kumhoji #mubarak mimi mwenyewe :d @eslam_foad: asante kwa mtu anayeandika hotuba za mubarak, bila wewe pengine mapinduzi yasingalipata mafanikio kama haya.

English

the majority of egyptian status updates on twitter over the past couple of days have also been about mubarak's detention as well. @engmtm: i wish i could interrogate #mubarak myself :d @eslam_foad: thanks to the guy who writes mubarak's speeches, without you the revolution wouldn't have succeeded.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,927,587,861 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK