MyMemory, World's Largest Translation Memory
Click to expand

Language pair: Click to swap content  Subject   
Ask Google

You searched for: mingi ( Swahili - English )

    [ Turn off colors ]

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

habari Ya Siku mingi

English

how are you doing

Last Update: 2015-08-10
Subject: General
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference:

Swahili

"Harakati hizi zimeshaenea kwa kiasi kikubwa, kuna michoro mingi ya kuvutia sana jijini", anasema Janowitz.

English

"The movement has grown a lot, and there's really a blossoming art scene in the city," Janowitz says.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

@nezar: Kituo cha Jazeera kwa muda wa hivi karibuni kimekuwa cha Kiislamu kama ambavyo Fox News kimekuwa cha wahafidhina wa Republican nchini Marekani kwa miaka mingi.

English

@nezar: Al Jazeera Cable has recently become to Islamists in Egypt what Fox News has been to fundamentalist Republicans in the US for many years.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference:

Swahili

Al Octaviano, mkazi wa mkoa wa Leyte, alisema kuwa mingi ya miili ya waliokufa hairipotiwi kwa mamlaka:

English

Al Octaviano, a resident of Leyte province, said that many dead bodies are not being reported to authorities:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference:

Swahili

Alhamisi tarehe 25 Machi 2010, mamia ya watu katika miji mingi duniani pamoja na Accra watakutanika nje ya mtandao na kukusanya nguvu kwa ajili ya jambo muhimu la Elimu kwa kuandaa matukio ya kufurahisha na kuelimisha umma.

English

On Thursday 25 March 2010, people in hundreds of cities around the world including Accra will come together offline to rally around the important cause of Education by hosting local events to have fun and create awareness.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference:

Swahili

Baada ya miaka mingi ya kazi ngumu na mipango, imeweza kuongeza hali ya kujulikana.

English

After many years of hard work and careful planning, it has been able to generate significant attention.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference:

Swahili

Baada ya miaka mingi, ni jambo jema kusikia kuwa Rais #Goodluck Jonathan anahitaji wiki 6 tu zaidi kukabiliana na Boko Haram. #Nigeriadecides — President Obiang (@PresidentObiang) February 7, 2015

English

After many years, it is good to hear that President #Goodluck Jonathan needs just 6 more weeks to deal with Boko Haram. #Nigeriadecides — President Obiang (@PresidentObiang) February 7, 2015

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference:

Swahili

Baada ya miezi mingi ya utawala wa mabavu, hivi majuzi kulitokea tukio la kumaliza utawala uliodumu muda wa miaka tisa kasoro siku sitini, na hapa Pakistani inafungua ukurasa mpya.

English

After many moons of tyranny, yesterday marked the end of a reign of power barely 60 days shy of nine years, Pakistan turns over a new leaf.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference:

Swahili

Habari hii kwa haraka kabisa ilibadilisha vichwa vya habari vingine kwenye vituo vya televisheni na pia mitandao mingi ya kijamii ghafla ilihanikizwa na habari hii.

English

The news instantly replaced all other headlines on TV channels and social media were soon abuzz with it.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference:

Swahili

Hatimaye Misri imepata rais mpya katika uchaguzi wa tatu kufanyika baada ya miaka mingi.

English

Egypt has a new president in the third elections it has had in as many years.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference:

Swahili

Haya ni mawazo machache sana ya upande wa upinzani baada ya uchaguzi unaotajwa kuwa na ushindani mkubwa sana katika miaka mingi.

English

These are only a few of the thoughts from opposing political sides after the most intense and contested presidential election in years.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference:

Swahili

Ilikuwa ya kuiungwana, ninatumaini atapumzika baada ya miaka mingi ya utumishi.

English

It was chivalrous, and I hope he rests after his long years of service.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference:

Swahili

Itachukua miaka mingi ya kazi ngumu, yenye kujaa ujasiri na unyoofu ili kuturejesha katika mfumo wa afya ulio wa heshima na wenye ufanisi.

English

It will take years of hard, courageous and diligent work to get us back to a health system that’s respected and effective.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference:

Swahili

Jana usiku kwenye CBC (Kanada) walikuwa na mjadala kuhusu kwa nini Jamaika imetengeneza wakimbiaji wa kasi wa mbio fupi kwa miaka mingi…

English

Last night on CBC (Canada) they had this discussion about why Jamaica has produced such amazing sprinters over the years...

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference:

Swahili

Katika kuingia katika umri wa utu uzima, vijana hao wanatafuta kujitambua huku wakikabiliwa na misongo mingi ya kifamilia na kiutamaduni.

English

On the edge of adulthood, they are searching for their own identities while facing family and cultural pressures.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference:

Swahili

Katika makala nyingine, mwanablogu anaeleza kwamba umma nao umejiunga katika msako huo, akitoa mfano wa tukio la hivi karibuni ambapo msalaba uling'olewa kutoka katika eneo ambapo umekuwa kwa miaka mingi sana:

English

In another post, the blogger demonstrates that the public has joined in the crackdowns, citing a recent incident in which a cross was removed from its site of many years:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference:

Swahili

Katika makala ya Global Voices ya Disemba 2009 yenye kicha "ICT4D: Makosa Ya Nyuma, Na Busara za Baadaye" Arpana Ray anaonyesha kuwa miradi mingi ya teknolojia kwa ajili ya maendeleo "ilianza kwa kishindo na baadaye kufariki kwa kilio."

English

In a December 2009 Global Voices article titled "ICT4D: Past mistakes, future wisdom," Aparna Ray points out that many technology for development projects have "started with a bang and later died with a whimper."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Katika mifano mingi, mpira wa miguu ulichimbua ushindani wa kitaifa.

English

In many instances, the football matched unearthed national rivalries.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference:

Swahili

Kesi za kisheria kati ya wazazi wa kibaolojia na wazazi wa kuasili zilizikabili mahakama za Marekani kwa miaka mingi.

English

Lawsuits between birth parents and adopted parents tied up U.S. courts for years.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference:

Swahili

Kufuatia mijadala na mifano mingi ya masuala ya rangi katika Marekani, mwanablogu huyo anahitimisha:

English

Following the discussion of numerous examples of racial issues in the United States, the blogger concludes:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference:

Add a translation

Search human translated sentencesUsers are now asking for help:i like to listen to music (English>Spanish) | papan kekunci catalonia (Malay>English) | eorking (English>Italian) | kitna time hua (Hindi>English) | gambar memek anak kecil (Indonesian>Hindi) | meaning i owe you my life (English>Hindi) | poubelle (French>Japanese) | golden seal (English>Tamil) | bahar aa (Hindi>English) | divorcio (Spanish>Hungarian) | uitvraag (Dutch>English) | venthayam in english word (English>Tamil) | a számla kiállítója (Hungarian>English) | wall panel (English>Russian) | mga isyu sa paggawa (English>Tagalog)


Report Abuse  | About MyMemory   | Contact Us


MyMemory in your language: English  | ItalianoEspañolFrançaisDeutschPortuguêsNederlandsSvenskaРусский日本語汉语한국어Türkçe

We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK