Results for misukosuko translation from Swahili to English

Swahili

Translate

misukosuko

Translate

English

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

usitufanye wenye kutiwa misukosuko na hao watu madhaalimu.

English

do not make us a [means of] test for the wrongdoing lot,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ewe mola wetu mlezi! usitufanye wenye kutiwa misukosuko na hao watu madhaalimu.

English

do not make us a test* for the unjust people.” (* by giving them power over us.)

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakati huo huo, waandishi wa habari na vyombo vya habari vimekuwa vikipata misukosuko na kutishwa.

English

at the same time, journalists and media have also faced threats and violence.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

misukosuko ,vilio ,vikwazo ni mfano wa mitihani kwetu ufanyie mwaka 2024 kuwa ni wenye furaha na amani

English

by the power of god

Last Update: 2024-01-01
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hali ya siasa za uturuki ipo katika misukosuko kufuatia kushindikana kwa jaribio la davutoglu la wiki jana la kuunda serikali ya mseto.

English

turkey’s political landscape is in flux after davutoglu’s attempts to create a power-sharing coalition failed last week.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wanablogu kadhaa wametoa maoni kuhusu ujumbe huo, na wengine wanaanza kuziona zama mpya baada ya zaidi ya miaka 30 ya misukosuko kati ya mataifa haya mawili.

English

several bloggers have reacted to this message, and some see a new era beyond the 30 years of hassles and haggles between the two states.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hapana shaka yoyote mtapata misukosuko katika mali zenu na nafsi zenu, na bila ya shaka yoyote mtasikia udhia mwingi kutokana na walio pewa kitabu kabla yenu na wale walio shiriki.

English

(believers!) you will certainly be put to test in respect of your properties and lives, and you will certainly hear many hurtful things from those who were granted the book before you and those who have associated others with allah in his divinity.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, mtakaposikia habari za vita na misukosuko, msitishike; maana ni lazima hayo yatokee kwanza, lakini mwisho wa yote, bado."

English

but when ye shall hear of wars and commotions, be not terrified: for these things must first come to pass; but the end is not by and by.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

hapana shaka yoyote mtapata misukosuko katika mali zenu na nafsi zenu, na bila ya shaka yoyote mtasikia udhia mwingi kutokana na walio pewa kitabu kabla yenu na wale walio shiriki. na ikiwa mtasubiri na mkamchamngu basi hakika hayo ni katika mambo ya kuazimia.

English

o ye shall surely be proven in your riches and in your lives; and will surely bear much hurt from those who were vouchsafed the book before you and from those who associate gods, and if ye endure and fear, then verily that is of the commandments determined.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
9,179,548,256 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK