From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
south africa: mauaji ya kiongozi wa afrikaner resistance movement
south africa: on the murder of the leader of afrikaner resistance movement · global voices
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
alengot ni mwanachama wa chama cha nrm (national resistance movement) kinachoongozwa na rais yoweri museveni.
alengot is a member of national resistance movement, headed by president yoweri museveni.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kony alikuwa kiongozi rasmi wa waasi wa lra mwaka 1988, baada ya kuwaunganisha masalia ya chama kilichokufa cha alice lakwena kiitwacho holy spirit movement.
kony effectively became leader of the lra in 1988, after cobbling it together from the remnants and other dregs of alice lakwena’s defeated holy spirit movement.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
januari 26, 2015, rais wa uganda yoweri museveni na chama chake cha national resistance movement (nrm) walisherehekea miaka 29 madarakani.
on 26 january, 2015, ugandan president yoweri museveni and his national resistance movement (nrm) celebrated 29 years in power.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
nyimbo hizo zenye maneno yanayotumiwa na wapinzani zilikuwa zinamwuunga mkono mir hussein mousavi na mehdi karroubi, ambao ni viongozi wa maandamano ya green movement yalifanikiwa sana nchini humo kufuatia kuchaguliwa kwa mara nyingine kwa kishindo kwa rais mahmoud ahmadinejad mwaka 2009.
the shouted slogans supported mir hussein mousavi and mehdi karroubi, leaders of the green movement protests that rocked the country following president mahmoud ahmadinejad's reelection in 2009 by a landslide.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
uchaguzi huo umekuwa wa amani kwa mara ya kwanza tangu kuanzishw akwa serikali ya pamoja kati ya chama cha zanu pf cha mugabe na chama kikuu cha upinzani kinachoongozwa na tsvangirai kiitwacho movement for democratic change (mdc).
the peaceful elections were the first since the formation of a coalition government between mugabe's zanu pf party and tsvangirai's the movement for democratic change (mdc).
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
barua hii ya wazi imekuja baada ya uongozi wa chama cha mozambican resistance movement (renamo) kutangaza tarehe 28 agosti kwamba davis simango, meya wa mji wa beira, hatosimama kugombea kiti hicho kwa muhula wa pili wakati wa uchaguzi utakaofanyika tarehe 19 novemba 2009.
this open letter comes after the mozambican national resistance (renamo) leadership in the central mozambican city of beira announced on august 28 that davis simango, mayor of the city of beira, would not run for his second term office for the local elections taking place on november 19, 2009.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: