From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
manamo tarehe 6 juni, serikali ya malaysia ilitaarifu kuwa raia 900 wa myanmar walishikiliwa wakati wa msako wa kiulinzi.
on june 6, malaysia reported that 900 myanmar nationals were detained during a security sweep.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
herode aliamuru ufanywe msako lakini hawakuweza kumpata. hivyo aliamuru wale askari wahojiwe, akatoa amri wauawe. halafu akatoka huko yudea akaenda kaisarea ambako alikaa.
and when herod had sought for him, and found him not, he examined the keepers, and commanded that they should be put to death. and he went down from judaea to caesarea, and there abode.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
katika makala nyingine, mwanablogu anaeleza kwamba umma nao umejiunga katika msako huo, akitoa mfano wa tukio la hivi karibuni ambapo msalaba uling'olewa kutoka katika eneo ambapo umekuwa kwa miaka mingi sana:
in another post, the blogger demonstrates that the public has joined in the crackdowns, citing a recent incident in which a cross was removed from its site of many years:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
diegoalejandro1985 ametuma picha ya video inayoonyesha watu wakiwa katika mstari wa kuingia katika moja ya taasisi zinazoendesha michezo hiyo inayojulikana kama drfe wakijaribu kudai pesa zao mara baada ofisi ya mwanasheria mkuu kuivamia na kuipekua, ambapo kuna fedha zilizokutwa zilizodhaniwa kuwa ilikuwa zitumike kulipa wale waliowekeza pesa zao kwenye taasisi hiyo, hata hivyo, msako huu unasemekana kwamba ulikuwa batili na hivyo mchezo wa upatu katika jengo hilo bado unaendelea.
diegoalejandro1985 posts a video of people lining up outside one of these investment options known as drfe, trying to claim their money after the general attorneys searched the premises and took hold of money that could've been used to pay those with savings invested in the organization, but this search was deemed illegal and the pyramid scheme is still in operation.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: