Results for mungu mtu translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

mungu mtu

English

mwanadamu akiamua kufuata matakwa yake mwenyewe atamkosa mungu

Last Update: 2023-11-15
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mtu

English

human

Last Update: 2013-07-28
Usage Frequency: 11
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

mtu wa mungu

English

man of godسوپرپرمردریشی

Last Update: 2023-07-09
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

mtu mbaya

English

ugly person

Last Update: 2024-04-13
Usage Frequency: 15
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

mungu alimtuma mtu mmoja jina lake yohane,

English

there was a man sent from god, whose name was john.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

mke mwema mtu hupewa na mungu

English

i tangu uhusiano wa kwanza wa mungu na mwanadamu, amekuwa akifichua kwao kiini chake na vile alivyo na alicho nacho, bila kukoma, kila wakati. kama watu katika enzi wanaweza kuona au kuelewa, mungu huzungumza na kufanya kazi ili kuonyesha tabia yake na kiini. havijawahi kufunikwa wala kufichwa kamwe, vimeachiliwa bila kusita, kiini na tabia ya mungu, nafsi yake na miliki yake, vinafichuliwa anapofanya kazi na kushirikiana na mwanadamu. ii mungu anatumaini mwanadamu aweza kumwelewa, ajue kiini chake, na tabia, ambavyo hataki vichukuliwe kama siri za milele. wala hataki mwanadamu amwone yeye kama kitendawili ambacho hakiwezi kutatuliwa. havijawahi kufunikwa wala kufichwa kamwe, vimeachiliwa bila kusita, kiini na tabia ya mungu, nafsi yake na miliki yake, vinafichuliwa anapofanya kazi na kushirikiana na mwanadamu. iii ni wakati tu binadamu amemjua mungu ndipo anaweza kujua njia ya kwendelea, kustahili kuongozwa na mungu. ataishi chini ya mamlaka yake na kuishi katika mwanga na baraka zake. havijawahi kufunikwa wala kufichwa kamwe, vimeachiliwa bila kusita, kiini na tabia ya mungu, nafsi yake na miliki yake. havijawahi kufunikwa wala kufichwa kamwe, vimeachiliwa bila kusita, kiini na tabia ya mungu, nafsi yake na miliki yake, vinafichuliwa anapofanya kazi na kushirikiana na mwanadamu. kutoka kwa neno laonekana katika mwili

Last Update: 2021-05-27
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mwenyezi mungu hamkalifishi mtu ila kwa kadiri ya alicho mpa.

English

allah asketh naught of any soul save that which he hath given it.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

msidanganyike; mungu hafanyiwi dhihaka. alichopanda mtu ndicho atakachovuna.

English

be not deceived; god is not mocked: for whatsoever a man soweth, that shall he also reap.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mwenyezi mungu hakumwekea mtu yeyote kuwa ana nyoyo mbili ndani ya mwili wake.

English

allah has never made any man with two hearts inside him.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

sisi tunajua kwamba mungu alisema na mose, lakini mtu huyu hatujui ametoka wapi!"

English

we know that god spake unto moses: as for this fellow, we know not from whence he is.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

na hawezi mtu kuamini ila kwa idhini ya mwenyezi mungu.

English

are you going to compel the people to believe except by god's dispensation?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

yesu akaendelea kusema, "ufalme wa mungu ni kama ifuatavyo. mtu hupanda mbegu shambani.

English

and he said, so is the kingdom of god, as if a man should cast seed into the ground;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kama kuna yeyote anayejitangaza kuwa hamuamini mungu, mtu huyo atakuwa na haki sawa na mwananchi wingine yeyote yule.

English

if anybody claims to be an atheist, he or she has the same rights as other citizens.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

maana, mungu hatakuwa na huruma atakapomhukumu mtu asiyekuwa na huruma. lakini huruma hushinda hukumu.

English

for he shall have judgment without mercy, that hath shewed no mercy; and mercy rejoiceth against judgment.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

lakini mtu yeyote anayekubali ujumbe wake anathibitisha kwamba mungu ni kweli.

English

he that hath received his testimony hath set to his seal that god is true.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hapo, yule jemadari alipoona yaliyotukia akamsifu mungu akisema: "hakika huyu alikuwa mtu mwema."

English

now when the centurion saw what was done, he glorified god, saying, certainly this was a righteous man.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

maana kama mtu hawezi kuongoza vema nyumba yake, atawezaje kulitunza kanisa la mungu?

English

(for if a man know not how to rule his own house, how shall he take care of the church of god?)

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

na mtu ambaye mwenyezi mungu anataka kumfitini huwezi kuwa na madaraka naye mbele ya mwenyezi mungu.

English

and whomsoever allah wants to put in al-fitnah [error, because of his rejecting the faith], you can do nothing for him against allah.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mtu yeyote anayefanya anayotaka mungu, huyo ndiye kaka yangu, dada yangu na mama yangu."

English

for whosoever shall do the will of god, the same is my brother, and my sister, and mother.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

yesu akamwambia, "kweli nakwambia, mtu asipozaliwa upya hataweza kuuona ufalme wa mungu."

English

jesus answered and said unto him, verily, verily, i say unto thee, except a man be born again, he cannot see the kingdom of god.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,794,837,557 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK