Results for mwana kondoo ameshinda tumfuate translation from Swahili to English

Swahili

Translate

mwana kondoo ameshinda tumfuate

Translate

English

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

mwana kondoo ameshinda tumfuate

English

the lamb has conquered, let us follow

Last Update: 2020-06-07
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

bali mlikombolewa kwa damu tukufu ya kristo, ambaye alikuwa kama mwana kondoo asiye na dosari wala doa.

English

but with the precious blood of christ, as of a lamb without blemish and without spot:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

basi, siku ya mikate isiyotiwa chachu ikafika. hiyo ndiyo siku ambayo mwana kondoo wa pasaka huchinjwa.

English

then came the day of unleavened bread, when the passover must be killed.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

alipomwona yesu akipita akasema, "tazameni! huyu ndiye mwana-kondoo wa mungu."

English

and looking upon jesus as he walked, he saith, behold the lamb of god!

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kesho yake, yohane alimwona yesu akimjia, akasema, "huyu ndiye mwana-kondoo wa mungu aondoaye dhambi ya ulimwengu!

English

the next day john seeth jesus coming unto him, and saith, behold the lamb of god, which taketh away the sin of the world.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

siku ya kwanza ya sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu, wakati ambapo mwana kondoo wa pasaka huchinjwa, wanafunzi wake walimwuliza, "wataka tukuandalie wapi karamu ya pasaka?"

English

and the first day of unleavened bread, when they killed the passover, his disciples said unto him, where wilt thou that we go and prepare that thou mayest eat the passover?

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

basi, sehemu ya maandiko matakatifu aliyokuwa anasoma ilikuwa hii: "alikuwa kama kondoo anayepelekwa kuchinjwa; kimya kama vile mwana kondoo anaponyolewa manyoya, yeye naye hakutoa sauti hata kidogo.

English

the place of the scripture which he read was this, he was led as a sheep to the slaughter; and like a lamb dumb before his shearer, so opened he not his mouth:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kisha nikaona pale katikati ya kiti cha enzi mwana kondoo amesimama, akizungukwa kila upande na vile viumbe hai vinne, na wale wazee. huyo mwanakondoo alionekana kana kwamba amechinjwa. alikuwa na pembe saba na macho saba ambayo ni roho saba za mungu zilizokuwa zimepelekwa kila mahali duniani.

English

and i beheld, and, lo, in the midst of the throne and of the four beasts, and in the midst of the elders, stood a lamb as it had been slain, having seven horns and seven eyes, which are the seven spirits of god sent forth into all the earth.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,945,524,427 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK