Results for mwenyeji translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

mwenyeji

English

hostess

Last Update: 2024-06-12
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mpe mwenyeji anielekeze vizuri

English

give the host a good guide

Last Update: 2022-01-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

"mimi ni mtoto mwenyeji wa hapa.

English

"i am a local child.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

filipo alikuwa mwenyeji wa bethsaida, mji wa akina andrea na petro.

English

now philip was of bethsaida, the city of andrew and peter.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

pilato aliposikia hayo, akauliza, "je, mtu huyu ni mwenyeji wa galilaya?"

English

when pilate heard of galilee, he asked whether the man were a galilaean.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mama huyo alikuwa mgiriki, mwenyeji wa sirofoinike. basi, akamwomba yesu amtoe binti yake pepo mchafu.

English

the woman was a greek, a syrophenician by nation; and she besought him that he would cast forth the devil out of her daughter.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

@mcolly – kama mwenyeji wa texas, ningependa kununua sauti-mwito hiyo ya simu.

English

@mcolly - as a texan, i would totally buy that ringtone.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ilipokuwa jioni, akaja mtu mmoja tajiri mwenyeji wa armathaya, jina lake yosefu. yeye pia alikuwa mwanafunzi wa yesu.

English

when the even was come, there came a rich man of arimathaea, named joseph, who also himself was jesus' disciple:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ikulu ya marekani hivi sasa ni mwenyeji wa mkutano wa kimataifa wa siku tatu kuhusu kupambana na itikadi kali ukiwa na wawakilishi kutoka kwenye nchi zaidi ya 60.

English

the white house is currently hosting an international 3-day summit on countering violent extremism with representatives from over 60 countries.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ndani ya chini ya miezi miwili ijayo afrika kusini itakuwa mwenyeji wa mashindano makubwa ya kimichezo kuliko yote ambayo afrika imewahi kuandaa wakati hali ya kibaguzi ikiendelea kukua.

English

in under two months south africa will hold the biggest sport event africa has seen while polarization and racial tensions are peaking.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mara ya mwisho rais wa zambia michael sata kuonekana hadharani ilikuwa takribani juni 20 ambapo alikuwa mwenyeji wa ujumbe wa serikali ya china ukiongozwa na makamu wa rais li yuanchao katika ikulu ya nchi hiyo.

English

the last time zambia’s president michael sata was seen publicly was on or around june 20 when he hosted a chinese government delegation led by vice president li yuanchao at the presidential palace.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

sababu ya kusema hivyo ni kwamba walikuwa wamemwona trofimo mwenyeji, wa efeso, akiwa pamoja na paulo mjini, wakadhani kwamba paulo alikuwa amemwingiza hekaluni.

English

(for they had seen before with him in the city trophimus an ephesian, whom they supposed that paul had brought into the temple.)

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

miongoni mwa wale waliotusikiliza alikuwa mwanamke mmoja mcha mungu aitwaye ludia mwenyeji wa thuatira, ambaye alikuwa mfanyabiashara ya nguo za kitani za rangi ya zambarau. bwana aliufungua moyo wake hata akayapokea yale maneno paulo aliyokuwa anasema.

English

and a certain woman named lydia, a seller of purple, of the city of thyatira, which worshipped god, heard us: whose heart the lord opened, that she attended unto the things which were spoken of paul.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

jiunge na mwenyeji wetu wa kujitolea robert foster –na mgeni wetu maalum, general bazter, mkurugenzi wa africom –kadri tunavyochimbua kiini halisi cha suala hilo.

English

join your charitable host robert foster - and our special guest, general baxter, direct from africom - as we delve into the dark heart of the matter.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

brazil imekuwa mwenyeji wa matukio kadhaa ya kujadili kuondoa umaskini na maendeleo endelevu kutoka katika mtazamo wa makundi mbalimbali ya kijamii, mara kwa mara maadui, kama vile rio +20, na mkutano wa watu na kongamano la kijamii duniani

English

brazil has hosted several events to discuss poverty eradication and sustainable development from the perspective of different social groups, occasionally antagonistic, such as rio +20, the people's summit and the world social forum. due to the fact that nature does not recognize national borders, scientists see both issues from a global perspective.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hapo akaja yosefu mwenyeji wa armathaya, mjumbe wa baraza kuu, aliyeheshimika sana. yeye pia alikuwa anatazamia kuja kwa ufalme wa mungu. basi, alimwendea pilato bila uoga, akaomba apewe mwili wa yesu.

English

joseph of arimathaea, and honourable counseller, which also waited for the kingdom of god, came, and went in boldly unto pilate, and craved the body of jesus.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hali imezidi kuwa tata kutokana na uwepo wa vikosi vya jeshi katika eneo hilo na kulitenga eneo hilo na maeneo mengine ya nchi, hali ni mbaya kiasi kwamba makundi ya wenyeji hawawezi kutembea kwa uhuru katika ardhi yao na wakati huohuo waandishi wa habari wanazuiwa kuingia ili kuripoti kuhusu vitendo vya uvunjaji wa haki za binadamu, hasa vile vinavyosemekana kufanywa na wauaji wa kukodi wa kikolumbia ambao wamekuwa wakilenga kila mtu; hivi karibuni tu walimshambulia mpaka kumuua kikongwe wa miaka 109 mwenyeji wa eneo hilo.

English

this situation has been made more difficult due to military presence in the area which has caused a siege state, where the indigenous groups are not allowed to walk freely on their lands or out of them and journalists are blocked from going inside the area to report of human rights abuses such as the alleged hiring of colombian hit-men who have been targeting entire communities and who beat to death a 109 year old indigenous elder.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,793,875,101 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK