Results for mwenzao translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

huyu mwenzao hana wazimu.

English

there is in their companion [muhammad] no madness.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

je, hawafikiri? huyu mwenzao hana wazimu.

English

do they not ponder that their companion is far removed from insanity?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

huyu mwenzao hana wazimu. hakuwa yeye ila ni mwonyaji aliye dhaahiri.

English

do they not reflect that their companion has not unsoundness in mind; he is only a plain warner.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wanablogu wa kisaudia wanaungana ili kumuunga mkono mwanablogu mwenzao anayelituhumu gazeti moja kuwa limetumia picha na kuzinakili kutoka mwenye blogu yake bila ruhusa.

English

saudi bloggers are rallying to the support of a fellow blogger who claims that a newspaper had lifted photographs and copy from his blog without permission.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwanamtandao mwingine, isaac mwanza, vilevile kupitia ukurasa wake wa facebook, aliongeza mtazamo wa kisiasa wanawake wa zambia washindwa kumwunga mkono mwanamke mwenzao:

English

another netizen, isaac mwanza, also on facebook, added a political dimension of zambian women not supporting a fellow woman:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wanahabari za tanzania walionyesha maombolezo yao kwa mwenzao walioandamana jijini dar es salaam (na sehemu mbalimbali nchini tanzania) tarehe 10 septemba, kupinga matumizi ya nguvu kupita kiasi yanayofanywa na polisi hivi karibuni.

English

tanzanian media professionals have expressed their sympathy with their former colleague when they demonstrated in dar es salaam on september 10, against the most recent police violence.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

waandishi wa habari wa kimasedonia walikusanyika mbele ya mahakama ya makosa ya jinai hivi leo katika mji mkuu skopje kupinga kukamatwa kwa mwenzao, tomislav kezarovski, kwa mujibu wa maandishi haya yaliyoandikwa katika ukurasa wa kundi la kimasedonia kwenye mtandao wa facebook yaliyopewa kichwa cha habari cha "waandishi wa habari na wananchi katika kutetea haki ya uhuru wa habari."

English

macedonian journalists gathered in front of the criminal court in the capital skopje today to protest against the arrest of their colleague, tomislav kezarovski, according to this note posted in the macedonian facebook group titled "journalists and citizens in defense of the right to freedom of information."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,919,555,613 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK