Results for mzee mmoja toka kabila la lakota translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

mzee mmoja toka kabila la lakota

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

usiku mwema katika kabila la luhya

English

good night in luhya tribe

Last Update: 2024-02-12
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

inafahamika wazi kwamba yeye alizaliwa katika kabila la yuda ambalo mose hakulitaja alipokuwa anasema juu ya makuhani.

English

for it is evident that our lord sprang out of juda; of which tribe moses spake nothing concerning priesthood.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

palikuwa na nabii mmoja mwanamke, mzee sana, jina lake ana, binti fanueli, wa kabila la asheri. alikuwa ameishi na mumewe kwa miaka saba tangu alipoolewa.

English

and there was one anna, a prophetess, the daughter of phanuel, of the tribe of aser: she was of a great age, and had lived with an husband seven years from her virginity;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wachaga ni kabila la kibantu lakini pia ni mchanganyiko wa damu ya kitusi wanaoishi kasikazini mwa tanzania chini ya mlima kilimanjaro mkoani kilimanjaro

English

swahili

Last Update: 2020-10-06
Usage Frequency: 2
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

miili yao ililetwa mpaka shekemu, ikazikwa katika kaburi abrahamu alilonunua kutoka kwa kabila la hamori kwa kiasi fulani cha fedha.

English

and were carried over into sychem, and laid in the sepulchre that abraham bought for a sum of money of the sons of emmor the father of sychem.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

tuliwapek\leka wageni wengi kuyaangalia makaburi hayo na kujifunza zaidi juu ya kabila la buganda, historian a utamaduni wake.

English

we took numerous visitors to see the tombs to learn more about the buganda tribe, its history and culture.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

sunset over selungo ni filamu ya dakika 30 inayoonesha namna kabila la wenyeji la penan linavyopigania kutunzwa kwa misitu ya asili kwenye kisiwa cha borneo nchini malaysia.

English

sunset over selungo is a 30-minute film documenting how the indigenous penan tribe is defending the remaining rainforest of borneo island in malaysia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

jambo la kwanza, sikuweza kutambua namna wazee wa singapore walivyojisikia kwa kunyimwa haki ya kumiliki na kutengwa hadi pale mzee mmoja mchangamfu kutoka katika kikundi changu alipotoa maoni yake.

English

for one, i didn't realize that the elderly in singapore felt such a sense of dispossession and rejection until one elderly gentleman from my group said his piece.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

jumanne usiku, katika tukio lisilo na uhusiano na hili, makaburi ya kasubi, eneo la makaburi ya wafalme wa kabila la baganda, liliteketea kwa moto.

English

on tuesday night, in an apparently unrelated incident, the kasubi tombs, the burial site of the kings of uganda's baganda ethnic group, burned to the ground.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

lakini mungu aliwalaumu watu wake aliposema: "siku zinakuja, asema bwana, ambapo nitafanya agano jipya na watu wa israeli na kabila la yuda.

English

for finding fault with them, he saith, behold, the days come, saith the lord, when i will make a new covenant with the house of israel and with the house of judah:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

rwanda bado inauguza makovu ya mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 yaliyoteketeza maisha ya watu kati ya 800,000 na milioni moja, ikiwa ni asilimia 80 ya idadi ya watu wa kabila la watutsi ikiwa ni pamoja na wahutu wengi.

English

rwanda remains deeply scarred by the 1994 genocide of 800,000 to 1 million people, including 80 percent of the tutsi population as well as many hutus.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kisha mmoja wa wale wazee akaniambia, "usilie! tazama! simba wa kabila la yuda, mjukuu maarufu wa daudi, ameshinda. yeye anaweza kuivunja mihuri yake saba na kukifungua hicho kitabu."

English

and one of the elders saith unto me, weep not: behold, the lion of the tribe of juda, the root of david, hath prevailed to open the book, and to loose the seven seals thereof.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

federico, ambaye ni wa kabila la mandaya (jamii ya wazawa wa lumad kutoka mashariki ya mindanao), anawahamashisha wasanii wachanga kuongeza maaarifa yao kuhusu utamaduni wa ufilipino kwa kujumuika na jamii za wazawa.

English

federico, who is a mandaya (lumad indigenous people from the eastern part of mindanao), encourages younger artists to enrich their knowledge of philippine culture by integrating with ethnic communities.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

- jenerali laurent nkunda na chama chake cha taifa kwa ajili ya kulinda watu au congres national pour la defense du peuple (cndp) anadai kupigana kwa ajili ya kuwalinda wananchi wa kongo wa kabila la watusi dhidi ya wageni wasioalikwa na wala kutakiwa nchini humo,

English

-general laurent nkunda and his congres national pour la defense du peuple (cndp) claim to fight for the protection of the congolese tutsi population from the drc's most uninvited and unwelcome guests,

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

waafrika-wa-kimexico wanajivunia kuwa sehemu ya simulizi ya “el yanga,” aliyejulikana dhahiri kama mfalme aliyekuwa mateka kutoka katika kabila la yang-bara la gabon, ambaye aliwasaidia watumwa kuwa huru kutoka kwa waspaniola kwenye miaka ya 1570.

English

afro-mexicans proudly share the story of “el yanga,” apparently an enslaved prince from the yang-bara tribe from gabon, who helped slaves to be free from the spanish around 1570.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
7,776,238,326 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK