Results for mzungu translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

mzungu

English

mzungu

Last Update: 2013-08-05
Usage Frequency: 4
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

mzungu wangu

English

my white man

Last Update: 2018-08-19
Usage Frequency: 3
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mimi ni mzungu mwenda

English

i am not a white man

Last Update: 2021-06-09
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

apo katikati alafu the mzungu

English

what's the

Last Update: 2024-08-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa hiyo yesu ni mzungu kila anapotokea.

English

so jesus is white even in apparitions.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mzungu nimetoka kinyozi kunyolewa kipara

English

i am a white man with a barber shaved

Last Update: 2022-01-10
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

nataka msichana mzungu awe mpenzi wangu

English

my girlfriend

Last Update: 2017-05-30
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kijana wa kwanza alikuwa mzungu, wa pili, mtu mweuzi.

English

the first guy was white, the second, black.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

watu wengi sana hawakuamini kwamba mzungu angeweza kushughulikia kazi za aina ile nchini humu.

English

most people did not believe that a white man can get involved in such work here.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kama hili tukio ni la kisiasa au la ni hadithi nyingine, mkulima mzungu aliyeajiri watu weusi ameuawa .

English

whether or not this is politically motivated is another story, a white farmer employing black people on his farm gets murdered.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa hivyo akamwomba dada aliyekuwa kibandani ampe ndizi nyingine, nia yake ikiwa kumpatia mrembo yule mzungu ndizi hiyo.

English

so he asked the nice lady at the shop for another banana and went to give it to the beautiful lady that he had just spotted.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

siku moja, sam alipokuwa akila ndizi pembeni mwa duka lake, akamwona msichana mrembo mzungu amekaa kulia mwa matatu.

English

one fine day, as sam was having a banana next to his shop, he spotted a beautiful white lady seated on the right hand side of the matatu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

akanikemea kwamba nilikuwa si muungwana kujaribu kuomba kupunguziwa bei wakati nilikuwa tajiri (yaani mzungu).

English

he yelled back that i was rude to try to bargin with him when i was rich (aka white).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

nikamwuliza bei na nikamwambia hiyo ilikuwa ni bei kwa mzungu na kwamba matunda hayo yalipaswa kugharimu kiasi hiki na kwamba nilitaka kununua matunda mawili kwa kiasi hiki.

English

i asked him the price and then told him that was the white person's price and apples should cost this and that i wanted to buy these two apples for this much.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kama una wasi wasi kwamba ubaguzi wa rangi bado unaishi ndani yetu wote, fikiria unavyojisikia unapopata wazo la kuoa au kuolewa nje ya watu wa rangi yako, hasa wewe ukiwa ni mzungu na mwingine ni mweusi.

English

if you doubt that racism still lives inside us all, consider your reaction to the idea of marrying outside your race, particularly if you are white and the other race is black.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

katuni iliyoandaliwa na masoud kipanya na kuchapishwa kwenye gazeti la tanzania litolewalo kila siku la mwananchi, ikimuonesha mzungu akiwa amebeba mgongoni mwake tangi la "gesi" akiendelea kuchimba gesi na wakati huo akimpa mtanzania vijisenti.

English

a cartoon by masoud kipanya published in the tanzanian daily mwananchi depicts a white man with a tank labelled "gesi" (swahili for "gas") on his back, extracting gas from the ground while handing out pennies to a tanzanian.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

"kwa upande wa mume wangu, ile kunioa mimi (mwanamke wa kizungu) siyo njia ya kupanda hadhi - hakuamua kutafuta mwanamke wa ki-amerika au mzungu kwa ajili ya lengo hilo.

English

" for my husband, being married to me (a white girl) isn't much of a status symbol - he didn't go out looking specifically for an american or a white girl.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,885,625,740 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK