Results for na ile cmu translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

na ile cmu

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

majeruhi wamepelekwa katika hospitali ya tarchileik na ile ya mine phyat.

English

wounded people have been sent to tarchileik hospital and mine phyat hospital.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na ile siku atapo wakusanya wote awaambie: enyi makundi ya majini!

English

and on the day when he will gather them (all) together (and say): "o you assembly of jinns!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

haya ndiyo mategemeo ya wote wanaoshutumu hatua hiyo inayolinganishwa na ile ya u-nazi.

English

this is especially ironic will all the accusations of nazism flying around.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mrindimo wake ulikuwa mzito na ulinikumbusha karibeani iliyotawaliwa na wafaransa pamoja na ile iliyotawaliwa na wahispania.

English

the beat was hard and it reminded me of the french caribbean and the spanish caribbean all at once.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

pengo kubwa kati ya hali halisi na ile iliyotarajiwa na ikiwa mtu anapaswa kuondoka au kubaki ni sula la mapambano.

English

the huge gap between ideal and reality and whether one should stay or leave is always a struggle.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kuna tofauti kubwa kati ya kelele inayoudhi ya nyuki wanaozunguka juu ya kichwa chako na ile ya dansi ya samba.

English

there is a big difference between an annoying swarm of bees buzzing around your head a samba dance.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yenye picha kubwa ya mnyama simba ni ya timu ya simba na ile ya mwenge unaonekana ndani ya ramani ya afrika ni yanga.

English

the flag with the majestic lion is simba; the torch superimposed on a map of africa is yanga.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baadhi ya wadau wanasema kuwa lugha iliyotumika katika mswada haieleweki, jambo linaloweza kuleta tafsiri tofauti na ile iliyokusudiwa.

English

some players argue that the language of the draft is not understandable, an issue that can lead to various kinds of misinterpretation.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hali wanayoendelea kukumbana nayo wanablogu mtandao, lasso anasema, inakaribiana na ile ya "daudi na goliathi".

English

the situation bloggers increasingly find online, lasso argues, is approaching a "david and goliath" situation.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

na ile siku atapo wakusanya wote awaambie: enyi makundi ya majini! hakika nyinyi mmechukua wafuasi wengi katika wanaadamu.

English

and [mention, o muhammad], the day when he will gather them together [and say], "o company of jinn, you have [misled] many of mankind."

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

naye saulo akauliza, "ni nani wewe bwana?" na ile sauti ikajibu, "mimi ni yesu ambaye wewe unamtesa.

English

and he said, who art thou, lord? and the lord said, i am jesus whom thou persecutest: it is hard for thee to kick against the pricks.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mara mbili, hayati papa yohane paulo wa pili alizuru kameruni na matokeo ya ziara hizo kwa umma wa watu ambao ni masikini hayakuwa zaidi ya furaha ya kidini iliyowagharimu michango binafsi pamoja na ile ya hazina ya serikali.

English

two times before, late pope john paul ii visited the cameroons and the effect on the already impoverished populace was nothing more than a religious euphoria at the expense of their personal financial contributions and the public treasury.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tovuti moja imeunganishwa na ile ya bw kikwete pamoja na akaunti ya twita ya dkt. bilal , wakati tovuti nyingine ina kiungo kinachoelekea kwenye ukurasa wa facebook ambao ni maalumu kwa ajili ya kampeni zake.

English

one site is linked to mr kikwete’s website and dr. bilal’s twitter account, while the other website has a link to a facebook page dedicated to his campaign.

Last Update: 2023-11-26
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mhudumu wa ndege ya shirika la ndege la malaysia alijadili kwa uchache kuhusiana na idadi kubwa ya watu kupoteza maisha kwenye ndege hiyo aina ya mh17 pamoja na ile yamh370, kwa kuweka picha katika ukurasa wa twita na instagram:

English

a malaysia airlines flight attendant highlighted the loss of lives on mh17 as well as mh370, sharing a picture on twitter and instagram:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mgahawa, upo upande wa juu wa kiasi cha nusu dazeni au zaidi kidogo ya mighahawa ya ki-ethiopia ndani ya kiasi cha mita 500, ipo katikati ya makutano ya barabara ya ggaba na ile ya tank hill.

English

the restaurant, the most high end of the half dozen or so ethiopian restaurants within 500 meters, sits at the intersection of ggaba road and tank hill road.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kumng’oa (opoku-manu) hakungesimamisha amri aliyoitoa na ile inayofanana na yake iliyotolewa na wafuasi wa rawling, vanderpuyes, anyidoho nk.

English

sacking him wouldn't stop the order he gave and similar ones given by the rawlingses, vanderpuyes, anyidohos etc.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa mujibu wa gawker, anonymous, kundi lenye muundo-huru la wanaharakati wenye utaalamu wa kuingilia mawasiliano binafsi ya mtandaoni pamoja na walinzi sungusungu, walishambulia tovuti za serikali, pamoja na ile ya rais, waziri mkuu, soko la hisa na wizara kadhaa, wakipinga kitendo cha tunisia kuingilia utumiaji wa mtandao maarufu wa kutoa taarifa za siri za serikali duniani uitwao wikileaks, kufuatia sakata la kuingiliwa kwa mawasiliano ya siri, na dhidi ya uingiliaji wa mitandao binafsi wenye ukandamizaji unaofanywa na nchi hiyo.

English

according to gawker, anonymous, the loosely-organised band of hacker activists and vigilantes, attacked the government sites, including that of the president, prime minister, the stock exchange and several ministries, in protest against tunisia's censorship of access to whistle-blower site wikileaks, following the cablegate affair, and for the country's repressive censorship.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
7,781,849,135 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK