Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
mimi nahitaji kupata pesa ya haraka
i need to make quick money
Last Update: 2021-06-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
naomba kumbusha kwenye sheet ya likizo majina yetu hayapo nilikuwa napenda kufahamau kama sisi pia tunauwezo wa kupata likizo
to ask for leave for medical treatment
Last Update: 2023-10-02
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
watu wanaweza pia kuwa na ugumu wa kupata umeme wa kuchaji simu zao za mkononi.
individuals may also have difficulty accessing electricity to charge their mobile phones.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
pia aliongelea ugumu wa kupata misaada mizuri; na wanablogu wengi wamemchabanga kwa hilo.
he also talked about how good help is hard to find; many bloggers have blasted him for it.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwenye mwezi novemba hivi, mvua za mwanzo huanza kunyesha, hivyo kufanya uwezekano wa kupata maji kwa majirani hawa.
more or less in november, it starts rainy time and it is other possibility for neighbors to collect water.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
muundo wa kupata maelezo yanayofaa ya kuwezesha kunasa data inayohitajika tayari umefaulu, na rekodi ya data ikiwekwa kuanzia wiki ambayo misimbo iliundwa.
the model of getting the appropriate informatics to enable capture of the required data has already been a success, with data recording starting the week the codes were created.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hivi sasa, wakimbizi na watu walipoteza makazi katika nchi maskini zaidi mara nyingi huwa na uwezo wa kupata simu za mkononi na wana uwezo wa kuangalia televisheni za setilaiti.
today, refugees and idps in the poorest of countries often have access to a mobile phone and are able to watch satellite tv.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
habari ya mda na pia unaendeleaje na kazi mpenzi wangu mimi ninakua na hofu sana juu ya yako wewe uliyefurahi sana sana kwa sababu umefanikiwa kutoa zawadi kwa ndugu yako na rafiki yako pia kiukweli inapendeza sana kwani ni baraka tu kwa maana ya kuwa na uwezo wa kupata naye atakubariki sana mpenzi
habari ya mda na pia unaendeleaje na kazi mpenzi wangu kwani nilikua na hofu sana juu yako wewe nimefurahi sana tena sana kua umefanikiwa kutoa zawadi kwa ndugu zako na marafiki pia kiukweli inapendeza sana kwani ni baraka tu kwa mwenyezi mungu utapata nayeye atakubariki sana mpenzi
Last Update: 2023-05-18
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
katika mijadala ya mtandaoni maswali yalijikita zaidi kwenye huduma za kitaifa za simu za mikononi, gharama na na upatikanaji wa huduma ya intaneti, wakizungumzia hali ya kutokuwapo kwa uwezekano wa kupata huduma ya intaneti watu wakiwa majumbani mwao.
in the forum, netizens' questions focused on national mobile telephonic services, cost and access to the internet, highlighting the impossibility of connecting to the internet from cuban homes.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kila mfanyakazi aliyeajiriwa na mwajiri zaidi ya mmoja, atawasilisha wizarani maombi ya uhuru wa kupata taarifa (foi) na kisha kujiunga na wengine watakaokuwa wamekusanyika mbele ya jengo la wizara.
each freelancer will submit a foi request to the ministry and then join the rest who will stand in front of the ministry.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa mujibu wa sheria ya macedonia ya uhuru wa kupata taarifa ya kanuni ya umma, mamlaka za serikali zinalazimika kutolea majibu ya maombi ya uhuru wa kupata taarifa (foi) ndani ya siku 30.
according to macedonia's law on freedom of access to information of public character, state bodies are under obligation to respond to written foi requests within 30 days.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
miquel anajadili matangazo ya google adwords katika afrika: "wakati ingelikuwa ni njia nzuri sana kwa wanablogu wa kiafrika kupata pesa kidogo ili kulipia gharama za intaneti, google haitoi chaguo la malipo kwa nchi yoyote ya afrika kusini mwa jangwa la sahara."
miquel discusses google's adwords in africa: "while it would be an excellent method for african bloggers to get a bit of money to cover their internet expenses, google doesn't offer payment options for any country in sub-saharan africa."
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
ni kweli, wengi wa kundi hili, wanaweza kuutamani mnofu wa nguruwe ikitokea wameuona, na hata wanaweza kusimama na kuangalia uwezekano wa kupata japo mbavu tu baada ya kuona tangazo kwenye runinga, lakini kwa kawaida mahali salama zaidi kuishi kwa nguruwe ni kwenye nchi ya kiislamu .
sure, they may lustily eye a strip of bacon if they ever encounter one, maybe even pause to consider a side of ribs after seeing it on a television show, but on average the safest place for a pig is in a muslim country.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ikiwa kila mmoja angekuwa ameshiba, angekuwa na uwezo wa kupata elimu nzuri, umeme, maji safi na hali nzuri ya maisha, nani angefikiria kujaribu kuliua kundi jingine la dini/kabila ambalo linaonekana “kupigania nafasi”?
if everyone was well-fed, had access to quality education, power supply, clean water and a decent standard of living, who would think of trying to kill off another religious/ethnic group seen to be "competing for space"?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting